Recent content by Eshacky

 1. Eshacky

  Maisha Plus - mchezo wa zama za ujima na mateso kwa vijana

  umeng'ang'ania mfano wa jeshi, unauhakika au stori za kusikia.. hayo mapori yenye nishat yaliota kama uyoga ama waliyandalia hayo mazingira wao wenyewe..
 2. Eshacky

  Maisha Plus - mchezo wa zama za ujima na mateso kwa vijana

  anaposema wanaishi kwa adhabu anasahau 80% ya watanzania ni wanaishi vijijini wakiwa na mazingira magum sana ya upatikanaji wa hudumaa muhimu. hapo wamepewa means za kuishi maisha standard kwa kushirikisha nguvu zao akil na umoja wao. mfano wanatakiwa wajenge nyumba wamepewa kila kitu ila...
 3. Eshacky

  Maisha Plus - mchezo wa zama za ujima na mateso kwa vijana

  ulishawah angalia season za awali za maisha plus? tangu ilipoanza kama miaka 3 nyuma..
 4. Eshacky

  Tuhabarishane:Maisha Plus East Africa-2016

  i itaonyeshwa tena saa 2 usiku.
 5. Eshacky

  Kisa cha mzee Yusuph

  mshana jr attach na hizo nyimbo za zaman, bandiko likamilike.
 6. Eshacky

  Madamoto: Uendeshaji wa bandari kitaalam

  asante kwa taarifa
 7. Eshacky

  Wa mwisho ndio mshindi

  joshi murunga ni producer wa vipindi vya salama jabir..
 8. Eshacky

  Woiso Original Leather Products ya Tanzania, Voted best in the world

  mi kweli na wanatengeneza four angle nzur kbs. kuharibika kwake ni wewe kuamua kukitupa. nilishafanya nao biashara ya dawa za viatu wako vizuri sana
 9. Eshacky

  Wa mwisho ndio mshindi

  kisiasa, kiuchumi na kitamaduni bado tunasuasua
 10. Eshacky

  Wa mwisho ndio mshindi

  mkuu wa kaya na lowasa walikula mvinyo jana kwa bashasha
 11. Eshacky

  Vifaa vya kubeba tarehe moja kama ni mshiriki operation UKUTA

  viatu vya kimichezo kwa ajili ya kutoka nduki ama? sijaelewa kamanda..
 12. Eshacky

  Mrembo Qandeel Baloch auwawa kwa kusababu ya picha zake mtandaoni

  habar inahusu picha na hakuna picha kwenye bandiko.
 13. Eshacky

  Vibaka Stendi ya Ubungo, mamlaka ziko wapi?

  mule ndani kuna giza totoro, hakuna cha sungusungu wala mgambo, ni kama hakuna utawala. jambo wanaloweza simamia vizuri ni ukusanyaji wa zile 300.
 14. Eshacky

  Tume ya vyuo vikuu (TCU) yatoa ufafanuzi kuhusu alama za kudahiliwa vyuoni

  ambapo mwanafunzi kasoma PCB, PCM, PGM etc. gvt school - boarding, hakuna walimu wa kutosha wala library then anaitwa k.la.za
Top