mkuu
tulie tu na kuombolezwa..kuna jitihada kubwa ya kuua nguvu ya wapishi wa katiba ys warioba..
ukianza na warioba mwenyew tang ateuliwe basi katiba kaitupa huko
huyu kijana humphrey polepole.tqng ateuliwe basi kaachqna na katiba zimebaki propaganda.mara ooh ntazungumza ndani ya chama oooh...
mkuu
hii ni shida kweli.....mwishowe watu wote ambao ni potential watamalizika kibaya zaidi huko waendako hawaendi kuongeza tija yeyote zaidi ya kumpigis makofi mshereheshaji
prof .kabudi
alikuwa na msimamo mkali sana juu ya katiba ya wananchi ya warioba ..
sasa hii ya kuteuliwa tuielewe kuwa mchawi mpe mtoto akulelee au mtoto akilia njaa mpe pipi atatulia hata sijui..
ila kwa uzoefu wangu tunaenda kumpoteza kabudi kama mtetezi wa katiba ya wananchi soon atapewa...
kuwalazimisha makampuni yajiunge DSE sio uamuzi sahihi kabisa..
watu wanajificha kwenye mgongo wa maslahi ya wananchi uongo mtupu...
unakuta kipande cha hisa cha chini kabisa kinauzwa labda 520 halafu sharti ununue vipande 1000..maskini gani ana uwezo huo??
haya suala la eti ..haya makampuni...
ustadhad faizza salaam..
umekuwa na jazba sana juu ya hili suala nakusihi punguza munkari ...
kwanza nikuulize unajua kwa nini malawi wanasema ziwa ni lao...??
kuna mambo mengi sana hayaja andikwa kama ambavo wazee wetu waliopigania uhuru hawajatajwa..
tanganyika ilipora sehemu nying tu..mfano...
mkuu
ziwa haliko mpakani..malawi wanasema kuwa ziwa lote ni lao na kama ndivo ilivo hivo..maana ake hiyo international law haiwezi kuwa applicable hapo
watu hamjui nini chanzo cha bwanaharusi kukimbia na kwa nini karudi ..mnaongea ujinga tu..
ni hivi.bibi harusi alishawahi kuolewa ndoa ya kiislamu huko akazaa mtoto mmoja wa kike baada ya muda ndoa ikavunjika..
na yule mtoto akawa anakaa kwa bibi upande wa baba saivi anamiaka kama siyo nane au...
achana na njaa ...ni mbaya sana..nakumbuka midahalo kibao dr ayoub rioba akichangia juu ys tasnia ya habari kwamba iwe huru na yenye tija..tang ateuliwe kuwa tbc mdomo mzito kaumwa na nyigu
kama huyu faru john alipigwa deal basi wapigaji wamepiga deal kwa kutumia akili nyingi sana..
siku ya kwanza PM anauliza kwa nini alitolewa serengeti?
anajibiwa majibu ya kitaaluma mpaka anaishiwa nguvu.
1.faru john aliondolewa setengeti kwa sababu tulitaka ku control in breeding
2.aliondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.