Perfume gani ya kiume au ya kike ambayo ipo romantic na inakaa kwenye mwili kwa zaidi ya mwezi 1? | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Perfume gani ya kiume au ya kike ambayo ipo romantic na inakaa kwenye mwili kwa zaidi ya mwezi 1?

Discussion in 'Urembo, Mitindo na Utanashati' started by JITU LA MIRABA MINNE, Jan 11, 2017.

 1. JITU LA MIRABA MINNE

  JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 28, 2015
  Messages: 577
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara
  perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu
   
 2. ezedabext

  ezedabext JF-Expert Member

  #21
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 13, 2016
  Messages: 352
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Mwezi mzima bajet au?
   
 3. xav bero

  xav bero JF-Expert Member

  #22
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 24, 2016
  Messages: 3,747
  Likes Received: 4,451
  Trophy Points: 280
  Nunua isymiak ya buku 4 kwa wanaume Kali kichzi
   
 4. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #23
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hahaha tena amesema au mwaka
   
 5. Ubuntu trusty tahr

  Ubuntu trusty tahr JF-Expert Member

  #24
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 5, 2016
  Messages: 203
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  em acha utani jombaa wenzako wanawaza namna ya kutafuta pesa na kuweka mambo sawa we unawaza pafyum......Looh umenichosha kabisa
   
 6. ndege JOHN

  ndege JOHN JF-Expert Member

  #25
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 2,678
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kuna siku nilikutana na diamond pale makumbusho kiukweli huyu superstar anatumia hizo anazozitaka mtoa Maada. Zinauzwa laki mbili tu na nusu
   
 7. ndege JOHN

  ndege JOHN JF-Expert Member

  #26
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 2,678
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Unaiskia kama ni nguo Mpya kila siku
   
 8. Yomakon

  Yomakon JF-Expert Member

  #27
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 12, 2016
  Messages: 515
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 80
  Hasa mkuu mpaka unataka pafyum ya kunukia mwezi. Lengo kuj nn hasa ?
   
 9. doama

  doama JF-Expert Member

  #28
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 29, 2013
  Messages: 481
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  Du LAPTOP2016 hapo chenye bei kubwa ni hiyo chupa sio hayo maji humo ndani
   
 10. k

  kmayunga Senior Member

  #29
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 16, 2015
  Messages: 128
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Tafuta perfume moja inayoitwa COBRA
  inaendana na requirment zako kbs
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #30
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Mwezi ? basi hao ma-designer watakosa biashara loh ...unyunyu tu mwezi kwenye nguo
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #31
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Buku nne tena?
   
 13. mjingamimi

  mjingamimi JF-Expert Member

  #32
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 3, 2015
  Messages: 7,689
  Likes Received: 5,203
  Trophy Points: 280
  Mavi perfume.
   
 14. mdetichia

  mdetichia JF-Expert Member

  #33
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 13, 2015
  Messages: 5,315
  Likes Received: 1,322
  Trophy Points: 280
  Mhh hiyo nguo haifuliwi itakuwa inawekwa kwenye maji na kutolewa kwa hizi perfume zetu za 30 mpaka 40 sahau labda ukanunue zile za 180, 000 kuendelea
   
 15. Mbulu

  Mbulu JF-Expert Member

  #34
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 15, 2015
  Messages: 3,431
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  Yolanda au cobra mkuu
   
 16. mdetichia

  mdetichia JF-Expert Member

  #35
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 13, 2015
  Messages: 5,315
  Likes Received: 1,322
  Trophy Points: 280
  Inapendwa sana na vile viumbe visivyoonekana
   
 17. D

  DCM Senior Member

  #36
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 164
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ingia google ucheki perfume.com pale utaona perfume zote nzuri za kike na za kiume,na nyingi zinauzwa hapa dar kwenye maduka makubwa pale mlimani city,maeneo ya namanga,kuna duka la walebanon pale mitaa ya peakok hotel ila sijui kama bado lipo.
   
 18. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #37
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,310
  Likes Received: 6,146
  Trophy Points: 280
  Nenda pale Muhimbili ward no 29 wakupatie zile wanawekea marehemu
   
 19. e

  escotter JF-Expert Member

  #38
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 25, 2014
  Messages: 326
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  bei zake shingap??mkuu
   
 20. e

  escotter JF-Expert Member

  #39
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 25, 2014
  Messages: 326
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  hatari sana hiyo kitu
   
 21. J

  Jilunga Member

  #40
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 38
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wewe naona unataka majini sio perfume
   
Loading...