Recent content by Escoter

  1. Escoter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nipo nyuma yako kaka, nimeweka 10k inaweza leta neema leo[emoji12][emoji1320]
  2. Escoter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wenzangu wa kubeti, nawasalimu kwa jina la jamhuri..[emoji23][emoji23]
  3. Escoter

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Habarini za majukumu wana jamvi wote wa Jamii intelligence page. Tangu miaka ya zamani kumekuwa na uvumi au hoja mbalimbali kuhusiana na mboga majani chainizi, watu wengi wanasema mboga hii inahusishwa na kuchangia au kuongeza tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia hasa kwa wanaume. Je kuna...
  4. Escoter

    JamiiForums Tanzania Tulimsuta Ndugai akaomba radhi na kulazimishwa kujiuzulu. Leo mnalia nini?

    Mi sina cha kusema, ila naomba Mungu aingilie kati ili watanzania wafunguke zaidi kifikra.Ahsante
  5. Escoter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia nofap challenge nina siku 2: nimechafua nguo za ndani!

    Unafanya usenge then unajisifia.
  6. Escoter

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Malezi ya watoto wa kiume kwa sasa ni magumu kuliko watoto wa kike, Mungu ayupiganie kwa kweli.
  7. Escoter

    JamiiForums Tanzania Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Kama hela yako ya mashaka usinunue gari kampuni tofauti na Toyota, utakuja kunishukuru.
  8. Escoter

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wananchi wa nchi gan? Inayoongozwa na serikali ipi?? Nyi ndo mnapigiwaga wake zenu na watu waliotambulishwa kuwa ni cousins wa wake zenu[emoji23]
  9. Escoter

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Umemjibu kwa hoja[emoji1319]
  10. Escoter

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    They are right[emoji1319][emoji1319]
  11. Escoter

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Pole sana[emoji23]
  12. Escoter

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Hatuna serikali mbili na haitakaa itokee ndo maana kuna vitu lazima viwe kama vilivyo, whether u like or not.. #viva Magufuli..[emoji1319]
  13. Escoter

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Serikali ni nini? Nani ni kiongozi wa serikali hiyo kwa sasa? Anatoka chama gani? Serikali iliyochini ya chama kipi ilinunua hayo magari unayoyaita ya serikali? #Toa hoja substance bhanaa
  14. Escoter

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    When you are in Rome, do as how Romans do..imeisha hiyo..
  15. Escoter

    JamiiForums Tanzania Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom