Recent content by Escort King

  1. E

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Mliotemwa msimchukie MAMA. Hakuwaambia mzeeke haraka
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hawana taarifa ya kifo cha Kenneth Kaunda?

    Imetolewa baada ya kuwananga hapa. Angalia muda wa taarifa yao ulinganishe na thread hii Tujipongeze kwa kuwakumbusha wajibu wao
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hawana taarifa ya kifo cha Kenneth Kaunda?

    Lifanyiwe Kazi sasa 😂
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hawana taarifa ya kifo cha Kenneth Kaunda?

    Inasikitisha kuona timu kubwa kama Yanga ambayo imeupachika uwanja wake jina la Kenneth Kaunda Stadium inashindwa kutoa hata taarifa ya kusikitishwa na msiba wa mwanamajumui huyu wa Afrika. Ndio kusema Viongozi hawana taarifa ya msiba huu au hawajui vinasaba vya Kenneth Kaunda na Yanga? ======...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda

    RIP Mtanzania mwenzetu na shabiki wa Yanga Kenneth Kaunda.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani huyu?

    Mbona hamlalamiki mtu akiapa " Naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nitaitumikia kwa moyo wangu wote..." Hadi hapo humjui Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kombati za CHADEMA mpaka siku ya harusi ; safi sana jamani

    Hii ndoa na kombat viliishia wapi?
  8. E

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Gerson Msigwa athibitishwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais

    Maisha ni gwaride, Nyuma Geuka wa kwanza anakuwa wa Mwisho.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais akitaka kufanya jambo anazunguka sana kupata uhalali?

    Kwa upande wangu nafikiri hiyo ndio njia sahihi ya utawala bora. Kuwashirikisha wengine. We humsikii akiongea lazima aweke maneno "tutafanya, tutashughulikia, tutajadiliana" n.k
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka Condester Sichwale aliyetolewa nje kisa mavazi aombwe radhi

    "...haiwezekani wabunge vijana wavae mavazi kama wanayovaa wabunge wanawake watu wazima." Safi
  11. E

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Makatibu Tawala, ahamisha wengine. William Erio aondolewa NSSF

    Home boy Ngusa Samike ndani ya nyumba
Back
Top Bottom