Kombati za CHADEMA mpaka siku ya harusi ; safi sana jamani

3.jpg


Hiyo sura ya bi harusi haionyeshi matumaini ya kudumu katika ndoa..ni wale mademu anayedai anaolewa ili na yeye asipitwe kuwa aliwahi kuolewa. Kwanza si alidai aliolewa siku za nyuma then akajifanya kutifuana na mumewe? Sasa vipi kimenoga kwa huyo dogo nini? atavumilia marungu ya vijana wa Kova kwa maelekezo ya magamba kama alivyomtokea Mrs Slaa? Maana sister du sana huyu shori....
 
kwa style sidhan kama kuna mwanachadema atakaebaki bila Ndoa huyo atakuwa kalaaniwa
Jamani chaadema wamewarahisishia Mavazi alietoka kwa bwana ibaki kazi kwenu
kila la heri
chd's
 
3.jpg


hiyo sura ya bi harusi haionyeshi matumaini ya kudumu katika ndoa..ni wale mademu anayedai anaolewa ili na yeye asipitwe kuwa aliwahi kuolewa. Kwanza si alidai aliolewa siku za nyuma then akajifanya kutifuana na mumewe? Sasa vipi kimenoga kwa huyo dogo nini? Atavumilia marungu ya vijana wa kova kwa maelekezo ya magamba kama alivyomtokea mrs slaa? Maana sister du sana huyu shori....

sajenti
yupi mwenye afadhai alieolewa akakutana na mshikeshike ama unaeendekez amandungayepe yaani ungekuwepo wakati jamaa anaingia ukumbini ulipigwa wimbo wanawake wazuri wazuri wameolewa wanabaki madungayepe yanahangaika uliza wale wa vidolee juuu haloooooooooooooooooouuuuuuuuuuuuuuuuu alipokaa wakamalizia na simwachi hata mseme ya abuu semhando utamkoma chd tuko kila sehemu
 
cdm bana wanapenda sana kupora wake za watu, huyu mwanamke alishafunga ndoa na mtangazaji wa clouds fm, anaitwa dj nerry

kama wameachana ama amekufa ulitaka aendelee kuzini??
 
Dj Neery wa Clouds Fm amekufa? Ebu tujuze vizuri amefariki lini duu!

mbona umekimbilia kufa ujasemea kuachana mpwa??Ndugu yangu kuna wanaume na wanawake wana roho mbaya kuliko shetwan ndugu yangu wengi wanaoa ama kuolewa kitaka kusafisha jina sasa kama ukikuta mwanaume anataka kuoa ilimradi aondokane na laana za familia akuna kuolewa akioa anashindwa kuhimili maana yale maneno ya ukoo yanamgeuzia kibao mwisho unakuta dada wa watu yanamshinda na ukimkuta didy asisetaka shida mwezi anakukimbia kinachofanya watu wengi wanauana hivi sasa ni hizi takataka za NDOA ZA KUVUMILIANA WE UNAONA MWENZA WAKO SIYO UNANGANGANA NA UVUMILIVU MWISHO UNA MIAKA 28 UNAKUFA NA SHINKIZO LA DAMU PRESSURE...SOMEN NYAKATI ....KUNA WATU NDOA KWAO NI ZAIDI YA QUININE SO HATA WAKILAZIMISHA WANAISHIA KUKATA MAKOFI WAKE ZAO ...NI SIWASEMI AMA KUWAMBIA MKIMBIE NDOA ZAO LAKINI UKISOMA BAIBO KUANZIA MWANZO MPAKA UFUNUO SIJAONA NDOA YA KUVUMILIANA HATA MOJA
 
3.jpg


Hiyo sura ya bi harusi haionyeshi matumaini ya kudumu katika ndoa..ni wale mademu anayedai anaolewa ili na yeye asipitwe kuwa aliwahi kuolewa. Kwanza si alidai aliolewa siku za nyuma then akajifanya kutifuana na mumewe? Sasa vipi kimenoga kwa huyo dogo nini? atavumilia marungu ya vijana wa Kova kwa maelekezo ya magamba kama alivyomtokea Mrs Slaa? Maana sister du sana huyu shori....
🤔
 
Back
Top Bottom