Recent content by Escobber pablo

  1. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

    😂😂😂Sipimi ukimwi Aya maisha yangu nayoishi ni zaidi ya ukimwi
  2. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Je, ujenzi wa Maghorofa Kariakoo unazingatia viwango au ni Siasa za rushwa?

    Poleni sana wahanga mtoke salama huko kwenye ngema
  3. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Je wajua, zamani Wanawake ndio walikuwa wanatongoza mabishoo?

    Daah hatari
  4. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje bidhaa inayouzika au inayouzwa kutoka kwa mkulima

    Izo bidhaa asilimia 90 Zina soko la uwakika SEMA tu bei ya masoko ndo tafauti na wachuuzi ndo wanawaumiza wakulima
  5. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Usisahau kununua mkongo
  6. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Ukishaona nchi wanatoboa Wanasiasa na machawa ila wenye Elimu Wako hoi jitafakari sana

    Kuhusu value elimu ya bongo ni tabu Elimu waliyo nayo Ina value ndogo sana.. kulingana na Dunia ilivyo sasa Kuhusu uchawa ni njaa hakuna mtu alidream/anapenda kuwa chawa chawa.,.....,,, ukiona uwezi shindana peke Yako ungana na wakuu
  7. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Ukiwa na Nuksi utaona rangi zote Poleni sana
  8. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Sijaamini hadi nilivyoona vijana wamejiajiri kubet. Anashinda kibandani na mikeka hadi jioni

    Aisee, sa kwanini ulikula vya watu huku ukijua wewe huwezi kuja kumpenda Onaa sasa amepoteza dira...
  9. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Wale ambao bado tuko macho mida ya wanga hebu tujuane

    Natak nikaishi kijijini kabisa labda stress zitapungua
  10. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

    Dar bandari ndo kishika uchumi fanya biashara kama unaweza mnashindano Lakin Kam unafuga Unataka kulima? Kuchimba madini? Au Uvuvi Nenda uko mikoani afu leta bizaa hapa dar
  11. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Nenda kwenye ofisi zao
  12. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

    Unazungumzi mgodi gani au umegeneralize
Back
Top Bottom