Recent content by Escoba

  1. E

    JamiiForums Tanzania Saluni ya kiume for sale

    Duuh km alimanisha ile round about ya tbt relini pale wanapokaa madalali karibu na shell na traffic lights basi jamaa ana F ya kuelekeza!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Saluni ya kiume for sale

    tabata hamna junction ya buguruni na ubungo!!
  3. E

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    jaribu leo kuanzia mida ya sita mchana , inawezekana jana ilisumbua kwa sababu ya weekend !
  4. E

    JamiiForums Tanzania Financial Management

    ilo somo rahisi me nafundishaa bure
  5. E

    JamiiForums Tanzania Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    hata mimi natafuta hiyo fomu ukipata ni pm
  6. E

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    yeyote anaeweza niwezesha kupata joining instructions za kantalamba high school ipo sumbawanga na tumaini secondary school ipo singida nina madogo wangu wamechaguliwa!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

    poa mkuu!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

    Wakuu naomba msaada nna mdogo angu amechaguliwa kwenda f5 Kantalamba, hatujapata joining instruction kama kuna yeyote mwenye contact za shule naomba mnipatie
  9. E

    JamiiForums Tanzania Milipuko inayosadikiwa kuwa ni mabomu inasikika maeneo ya Dar usiku huu

    mi nipo tabata shule milio ilikua mikali lkn sasa hv imeisha ilidumu kwa mda ka wa dakika 5 hv mwenye taarifa kamili afunguke
  10. E

    JamiiForums Tanzania TCU second round selection zitatoka lini?

    Naomba msaada wenu sababu nimejaribu kuwapigia TCU simu haipokelewi; Ni hivi nlikosa 1st selection, nika apply 2nd selection, wakaniambia, CONGRATULATIONS YOU HAVE BEEN SELECTED. Sasa hivi wamenitumia msg tena kwamba nichague list ya vyuo kwa sababu sijachaguliwa due to competition hawa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania TCU Kuomba vyuo mwaka huu

    wanaomba kwa kutumia vigezo gani,mwisho wa kuomba lini
  12. E

    JamiiForums Tanzania TCU Kuomba vyuo mwaka huu

    Hivi kwa walomaliza form six mwaka huu washaruhusiwa kuomba vyuo kupitia TCU ?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Askari trafik no. F 3652 anakula rushwa

    [/COLOR] inaonekana hujasoma vzur nilichokiandika,soma afu ndo utoe comment,matakoweeeeee!kill
  14. E

    JamiiForums Tanzania Askari trafik no. F 3652 anakula rushwa

    ulitaka nitoe 10,000 ndo kumalizana kimya kimya! inabidi utambue kua trafik wengi hawatumii akili wako ka robot yeye alikua anajijitetea et mkubwa wao kawambia kila trafik akusanye pesa kiasi fulani ; shame on them
  15. E

    JamiiForums Tanzania Askari trafik no. F 3652 anakula rushwa

    trafiki atakua ndugu ako si bure
Back
Top Bottom