Askari trafik no. F 3652 anakula rushwa

Askari trafik no. F 3652 anakula rushwa

Acha mambo yako kaka hiyo yenyewe ni kosa na acha ubushloya wako .sijaona kama unaweza kumshtaki mtu kwa ajili
hiyo
 
Bradha kosa lipo, side mirror yako inakreki haijalishi ndogo au kubwa. Muhimu ni kumalizana kimya kimya na hivi ulivyofanya ni kuzidi kumpaisha na kazi nzuri aliyofanya ya kuongeza pato serikalini.

ulitaka nitoe 10,000 ndo kumalizana kimya kimya! inabidi utambue kua trafik wengi hawatumii akili wako ka robot yeye alikua anajijitetea et mkubwa wao kawambia kila trafik akusanye pesa kiasi fulani ; shame on them
 
kama ulikutwa na kosa,hata dogo kiasi gani,ulitakiwa kuhukumiwa kwa kosa lako. Mi nilijua haukua na hata tone la kosa! kama ulishindwa kuongea vizuri nae,usituletee umbea hapa!
 
fuata sheria ungekua huna kosa angekudai nini?na km kweli umedaiwa rushwa takukuru wapo namba za simu zao zipo .achen majungu
 
ulitaka nitoe 10,000 ndo kumalizana kimya kimya! inabidi utambue kua trafik wengi hawatumii akili wako ka robot yeye alikua anajijitetea et mkubwa wao kawambia kila trafik akusanye pesa kiasi fulani ; shame on them
Labda namna ya kuwasilisha maelezo yake ninachokifahamu ni kuwa taratibu zao ni kuwa wanatakiwa kupeleka makosa sitini kiidadi kwa mwezi hivyo ni sawa na makosa mawili kila siku ya mungu iendayo.
 
Mkuu watu8, hivi hili huwa ni kweli!??

Halina mjadala hilo mkuu...

Kuna wakati hawa jamaa walikuwa wanatumia risiti feki, baadaye ikaenda wakashtukiwa wakaanza kupeleka wakosefu kulipa vituoni lakini siku za karibuni vile vitabu vya risiti feki vimerudi tena...

Halafu wasivyo na haya wana kawaida ya kuvamia barabara moja kama kikundi hivi na kufanya ambush ya kila gari wanalojisikia kulisimamisha...

Huwa wanahama barabara moja kwenda nyingine, na kwa siku za karibuni wamekuwa wakipiga kambi maeneo kama Kimara Mwisho pale barabara zinapo-merge, Sinza Kijiweni hapa karibu na Puma, Mlimani City/Survey, Mnazi Mmoja karibu na kituo cha UDA za kivukoni (hapa hupendelea sana kuwepo siku za weekend), kuna wakati mwingine hupenda kuwa kula Coco Beach.

Kwa bahati nzuri sisi wengine tuna namba za wakubwa ndio inakuwa afadhali yetu lakini unakuwa ushapotezewa muda...
 
Haiwezekani unachokiongelea ndicho hiki alichokisema hapa chini mkuu...

Labda namna ya kuwasilisha maelezo yake ninachokifahamu ni kuwa taratibu zao ni kuwa wanatakiwa kupeleka makosa sitini kiidadi kwa mwezi hivyo ni sawa na makosa mawili kila siku ya mungu iendayo.
 
Kamanda Mpinga askari wako wa barabarani (Trafik) mwenye Namba F.3652. Ni mfupi mweupe. Leo muda mfupi uliopita kanisimamisha nikiwa naendesha gari maeneo ya makutano ya barabara ya shekilango na Morogoro, baada ya kuona sina kosa akanambia nimpe elfu 10,000 niende nikakataa akaamua kuniandikia faini eti side mirror ina cracks. TAKUKURU na wanaohusika mchunguzeni.

Mtoa mada hujatoa ushahidi hata wa sauti ungetosha maana huyu askari uliyemtuhumu anaweza kuja na mada isemayo "Dereva mwenye gari namba T ....BAU (Tanzania Business As Usual) ni mtoa rushwa, kwamba ulipita taa nyekundu uliposimamishwa ukajaribu kumhonga ili akuachie utakataa?
 
Kamanda Mpinga askari wako wa barabarani (Trafik) mwenye Namba F.3652. Ni mfupi mweupe. Leo muda mfupi uliopita kanisimamisha nikiwa naendesha gari maeneo ya makutano ya barabara ya shekilango na Morogoro, baada ya kuona sina kosa akanambia nimpe elfu 10,000 niende nikakataa akaamua kuniandikia faini eti side mirror ina cracks. TAKUKURU na wanaohusika mchunguzeni.
wachukueni video muwaweke hapa, siku hizi karibia kila mtu ana simu yenye video camera, wengine wan akalamu na miwani yenye camera, hivyo ni rahisi kumchukua mtu bila yeye kujua.
 
Inauma ndani ya nchi yako unapoamua kuripoti uovu unaonekana mjinga. Rushwa imekua jambo la kawaida kiasi kwamba ukilalamika kuombwa rushwa unaonekana mjinga
 
Halaf wewe nae ndugu yangu vipi!!! we unaona sikukuu ndio hyo halaf unakuwa mguuuuumu watu hatuishi hvyo hapa mjini..
sasa unamsemea ili mwenzako afukuzwe kazi ama??? Aaaah sio fresh mkuu
 
Hahaha na mshahara mpaka usawa huu haujasomeka! #majanga
 
Askari wa barabarani wanafanya kazi kwa malengo waliyopangiwa.
Kila askari aripoti SI CHINI ya makosa matatu kwa siku....
Askari barabarani (Dar) wanakua wangapi kwa siku moja? Zidisha mara tatu....
Pole kama leo umevuliwa wewe
 
Inauma ndani ya nchi yako unapoamua kuripoti uovu unaonekana mjinga. Rushwa imekua jambo la kawaida kiasi kwamba ukilalamika kuombwa rushwa unaonekana mjinga

Yeye hajalalamikia rushwa
kalalamikia faini....
 
na wewe hiyo 10000 ulitoa ya nn faini mngeenda mpaka kituo ukawaambie ukweli kuhusu hili kukimbilia humu ni ujinga
 
Back
Top Bottom