Simba Mangu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 350
- 71
Msitete ujinga trafiki anatakiwa kukuelimisha kama kosa ni mara ya kwanza au akupatie barua ya onyo na zipo nyingi tu hizo karatasi zimechapishwa kwa fedha ya serikali hivyo askari wanatakiwa kuelimisha kwanza kabla ya kukimbilia faini hiyo ni njia ya kutaka rushwa .muhimu hizi fedha za faini zilipwe bank mwisho wao huo.Wewe acha u bushlawyer krek ni krek tu kama haungekuwa na kosa si ungeenda nae kituoni.