Recent content by esau m

  1. esau m

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Voda wezi tu compn yao inatumika kwa kuongoza kutumia mtandao kuibia watu sina ham nao hapo secure
  2. esau m

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    Niwote tuliojiunga kugoma kukatwa kwenye hela zetu basi. Menginine nikutafuta maneno km mim nakatwa elfu 46na vijisent huko
  3. esau m

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    [emoji108] [emoji23]
  4. esau m

    JamiiForums Tanzania Je, mjamzito anaruhusiwa kufunga mkanda wa gari wakati wa safari?

    Kwanini akae mbele kaa siti za nyuma huko haisumbui sana
  5. esau m

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo likizo kwa Continental?

    Ivi ving'amuzi ni viini macho
  6. esau m

    JamiiForums Tanzania Fulana(t-shirt) za JamiiForums sasa zinapatikana kwa bei ya TZS 20,000/=

    Hizi mbona elfu 12
  7. esau m

    JamiiForums Tanzania Hili limenitokea na roho inaniuma sana: TANESCO wanataka kufungia watu umeme kwenye transformer yangu kwa nguvu!

    Hiyo mil 6 ungejifungia Solar Energy wala usingeanfaishana na TANESCO ukIshaweka ivyo vitu ni mali ya serikali. Hapo kubali maumivu km vp wambie nataka kuhamisha transformer yangu iwe kwako ndani. Ila wakati unaweka simliwekeana mkataba au ulifanyaje kwenye maandishi wakati unaweka hiyo ngome km...
  8. esau m

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wanunuzi wa Colgate

    Maxfresh colgate natumia nayo siyo fake
  9. esau m

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

    Mko vizuri nami nitakuja nahitaji mmesema mpo Karume complex nitahitaji namba zenu tutawasiliana hapo umenikosha watoto wanne wa kiume hapo umenipatia ahsante sana mkuu Mungu awatangulie ktk bihashara nzuri
  10. esau m

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kama kuna tiba ya kunusuru mimba kuharibika

    Pole Mungu akuponye naupate huyo mtoto
  11. esau m

    JamiiForums Tanzania Basi zuri la Dar to Dom

    Kimbinyiko wako vizuri hata km wacare abiria sana tuwape heshima yao
  12. esau m

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio mali ya Magufuli

    Ndoto za Alinacha hizo tulia dawa ifanye kazi Malaria sugu ipone
  13. esau m

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio mali ya Magufuli

    Ndoto za Alinacha hizo tulia dawa ifanye kazi Malaria sugu ipone
  14. esau m

    JamiiForums Tanzania Vilevyi gani havitoi harufu kinywani baada ya kunywa

    Whisky
  15. esau m

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aifungua Hospitali ya Taaluma na Tiba - Muhimbili kampasi ya Mloganzila

    [emoji108] [emoji23]
Back
Top Bottom