Basi zuri la Dar to Dom

Basi zuri la Dar to Dom

Kimbinyiko wako vizuri hata km wacare abiria sana tuwape heshima yao
 
SHABIBY hana mpinzani, ni full luxury!! Chukua mchuma huo.
5b34600d7f15bd2455f1e8eba502601d.jpg

Mwambie aandae elfu 35
 
Kimbinyiko wako vizuri hata km wacare abiria sana tuwape heshima yao
Amna. Kuna badhi ya magari yao yameshajichokea. Mwanzoni yalikuwa mazuri sana sasaiv utajutia nauri yako mkuu.
 
Mabasi mengine vituko, kuna basi linaoywa nafikiri SUPER LUXURY au LUXURY BUS ila SUMATRA wameliwekea nembo ya ORDINARY BUS.
 
Oooh yeeah
We sema oh yeah tu kwa taarifa tu kama hujui hilo basi pichani limeharibika,siku niliyolipiga picha nilikuta bovu,me nlkuwa naelekea dar,likafaulisha abiria kwa machame investment(nb:lilikuwa linatokea singida,na hapo ni dom terminal yao area c)
 
Mmh,
 
champion jamani tehetehe natania tu mjomba
Dah nakumbuka 2013 nililitumia kama mara 3 uzuri Dom unafika saa sita kamili sema walikuwa rough sana barabarani full kushindana na mohamed trans

Sema gari lao lipo hovyo ndani
 
Back
Top Bottom