Recent content by Erwin Rommel

  1. E

    TIGO PESA mnavyofanya si haki hata kidogo

    Nami pia yamenikuta nimekuja kukatwa shs 4000 kwa mara zote nne nillzokuwa nikijaribu kununua kifurushi cha intaneti cha sh 1000 bila kupata majibu. Mwishowe jaribio la mwisho mchana ndiyo kikaja kifurushi kimoja na msg 4 za mrejesho wa manunuzi lkini nimekatwa hela ya vifurushi 4. Acheni uhuni...
  2. E

    Tanesco vipi tangu jana mtandao wa Luku haufanyi kazi? Mbona kimya?

    Kweli kabisa luku ni sheeedah leo. wengine tunalala giza na joto hili hapa Dar! Tanesco come out of you shell and speak!
  3. E

    Kwanini Afrika ni Tajiri Waafrika(wengi) ni Masikini?

    Sababu ni kwamba Bara hili halijajaaliwa kuwa na viongozi aina ya Lee kuan Yew wa Singapore au Mahathir Mohammad wa Malaysia. Ndo maana hatuna nchi ambazo unaweza kuziita "African Lions" ukilinganisha na zile "Asian Tigers" za Asia -- yaani S. Korea, Taiwan, Singapore, Malaysia na Thailand.
  4. E

    Bado twangojea clarification ya Ikulu kuhusu sh 5000 rushwa kwa trafiki

    Hadi sasa hakuna clarification ya kusema JPM amenukuliwa vibaya na vyombo vya habari kuhusu sh 5000 kwa trafiki si rushwa bali ni hela ya kubrashi viatu! Wiki sasa inakatika na Kurugenzi Mawasiliano Ikulu kimyaaa! Kwa hiyo rushwa kwa trafiki ni halali?
  5. E

    Executive Solutions ni jipu hatari sana

    Kampuni hii ni jipu kweli na inadaiwa inahusika katika sakata la kina Kitillya na wenzake. Tusisahau ilitajwa sana ktk lile sakata la Jairo ambapo ilidaiwa wizara ya Nishati iliwalipa mamilioni katika kufanikisha azma ya Jairo kuwaandaa Wabunge wakubaliane na bajeti ya wizara wakati ule.
  6. E

    Naomba kutoa ushuhuda wa uchaguzi wa mwaka 2005 uliomweka Rais Kikwete madarakani

    Na mwaka 1985 Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere.
  7. E

    Sakata la kuficha hela ughaibuni: BoT yamkana Mbowe, Kufungwa miaka 14?

    Hilo gazeti nimelitafuta sana leo nimeambiwa na waizaji wa meza kwamba wameyauza yote kwa mama wauza vitumbua kwani huwa haliuziki linapoteza nafasi mezani. By the way Mods mbona unaruhusu habari hii hii moja kuletwa kupitia threads nyingi? Nawe una masilahi ya uongo huu? Tuambie la sivyo...
  8. E

    Je ili uwe mzalendo kwenye Nchi hii ni lazima Uvae tofauti au uvae kama Mh Nchemba?

    Katika siasa uvaaji mara nyingi huashiria mapungufu mengine ya mwanasiasa.
  9. E

    Taarifa ya CUF kwa vyombo vya habari, CCM Zanzibar mnakokwenda siko.

    Shein anajua fika kwamba umwagaji damu ukitokea huko anayejulikana kimataifa na hivyo kuhenyeshwa ni JPM ambaye sasa hivi hana habari huko.
  10. E

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Hivi Magu hakuliona hili la kufanya uchaguzi wa ubunge Arusha ni matumizi mabaya ya hela za serikali? Wangemtangaza tu Lema.
  11. E

    Dr. Tulia Akson - Mjumbe wa bodi ya bandari iliyovunjwa kwa ufisadi

    Duh! Hata kusikia tetesi ya kinachoendelea? Mimi nikiwa kama raia wa kawaida nilikuwa nasikia madudubya kule Bandarini, sembuse yeye ndani ya board?
  12. E

    Dr. Tulia Akson - Mjumbe wa bodi ya bandari iliyovunjwa kwa ufisadi

    Naona JPM ameanza kukanyaga rough terrain!
  13. E

    Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Chagonja, amehamishwa kwenda Jeshi la Zimamoto

    Tumsubiri Lema atasema nini kuhusu huyu mjamaa.
Back
Top Bottom