Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Chagonja, amehamishwa kwenda Jeshi la Zimamoto

Mapengo 17

R I P
Mar 28, 2014
1,232
609
Kuna taarifa ambayo nimeipata muda mfupi uliopita na nimeileta kama tetesi ili kama kuna mtu anayo taarifa kamili atujuze vema kuhusu hili la Rais John Magufuli, amemhamisha Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja kwenda Jeshi la Zimamoto kuwa Kamishna Jenerali wa Zimamoto.

Pia katika mabadiliko hayo, Jonathani Kahatano amepelekwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA)

=======================

Update;

Amiri jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama amefanya mabadiliko madogo katika utendaji wa Jeshi la polisi na kumhamishia Kamishna wa Operesheni na mafunzo, CP Paul Chagonja kuwa Kamishna Mpya wa Jeshi la Uokoaji na Zimamoto.
 
Kama ni kweli Magu kafanya safi sana. Ule mwili wa chago unafaa sana kushika hose na si bunduki.
 
Ni vyema pia akachunguza utajiri wao yeye na Kova maana walikuwa wanafanya mambo mengi kama wanasiasa, inawezekana walishiriki kwa namna moja au nyingine na huu uozo unaoibuliwa wa serekali iliyopita.
 
Kuna taarifa ambayo nimeipata muda mfupi uliopita na nimeileta kama tetesi ili kama kuna mtu anayotaarifa kamili atujuze kuhusu hili la Rais John Magufuli, amemhamisha Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja kwenda Jeshi la Zimamoto kuwa Kamishna Jenerali wa Zimamoto.

Pia katika mabadiliko hayo, Jonathani Kahatano amepelekwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA
Huyu Chagonja baadhi ndo walikuwa wanapenda awe IGP.Jeshi la POLISI limekuwa dhaifu sana chini ya Mangu.....................
 
Kuna mashaka sana kuhusu ukweli wa tetesi hizi maana CP Chagonja ngazi yake ya maamuzi ni IGP na wala siyo rais.
 
Kama ni kweli nitafurahi sana chagonja akazibue watu watu waliozama kwenye mashimo ya gogoz...
 
Unaonekana uko jikoni wewe. Haya tudokezee baraza jipya la mawaziri. Eti ni kweli mwana wa mfalme aliyemaliza kipindi chake huko nchi ya kusadikika na mzee wa kutoa ujumbe kwa picha wamo kwenye hilo baraza?
 
Kuna taarifa ambayo nimeipata muda mfupi uliopita na nimeileta kama tetesi ili kama kuna mtu anayotaarifa kamili atujuze kuhusu hili la Rais John Magufuli, amemhamisha Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja kwenda Jeshi la Zimamoto kuwa Kamishna Jenerali wa Zimamoto.

Pia katika mabadiliko hayo, Jonathani Kahatano amepelekwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA
Kahatano huko anapaweza sana.
 
Unaonekana uko jikoni wewe. Haya tudokezee baraza jipya la mawaziri. Eti ni kweli mwana wa mfalme aliyemaliza kipindi chake huko nchi ya kusadikika na mzee wa kutoa ujumbe kwa picha wamo kwenye hilo baraza?

Tumewaweka kwenye gazeti letu ili kuwaharibia wasiweze kufikiriwa period!
 
Back
Top Bottom