Katika uchaguzi wa mwaka 2005 uliomweka Rais Kikwete madarakani ulitanguliwa na kura za maoni ili kumchagua mwana CCM atakepeperusha bendala ya chama cha mapinduzi kwenye dulu la vyama vingi.
Kura hizo za mapendekezo zilifanyika Kizota ambapo iliandaliwa treni maalumu ya kupeleka wajumbe ke wapatao 2000.
Pia walihakikisha huduma zote mhimu zinapatikana kule ikiwa ni pamoja na kula na kunywa.
Mambo ya vinywaji na mengine yanayoendana na hayo walipewa jamaa akina Frded Sammy na akina Kimey wenye
De-lux area A. Waliweka vibanda vingi na pombe kila aina na nyama za mbuzi na kuku wakaendelea kuhudumia wajumbe.
Kwenye uchaguzi majina 3 ya mwisho kama mnavyokumbuka yalikuwa ni 1.Salim Ahmed Salim 2.Marka Mwandosya a 3. ni yeye Jakaya Mrisho Kikwete.
Baada ya uchaguzi Spika wa bunge wakati huo Pius Msekwa alianza kusoma matokeo kwa kusema kuwa mshindi amepatikana katika uchaguzi wa kwanza tu, hakutakuwa na marudio.
Ndipo Mh. Kikwete akatangazwa mshindi, wa kwanza kufurahia ushindi ule ni Mh. Edward Lowassa, ili kudhihirisha furaha yake aliamuru akina Sammy na Kimey wawape wajumbe vinywaji,wanywe wanavyotaka,wanywe kwa uwezo wao wote, na kwa muda wowote wanaotaka hata kama mpaka asubuhi bill kwake yeye Mh. lowassa, alikuwa anafurahia ushindi wa Kikwete.
Sasa Kweli akina Kikwete ndio wa kumfanyia mwenzao hivi?
Mungu yupo,malipo ni hapa hapa duniani. Kweli mungu yupo ,imeniuma sana.
Nikikumbuka usiku ule tunakula kuku brandy wisky yenye glasi ya pembe tatu juu bill kwa Lowassa siamini ninachokiona