Recent content by ernieboss

  1. E

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

    Wanatishaaaaaaa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maajabu ya Wanawake...

    Hatariiiiiii
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TRA: Biashara nyingi rasmi zitaendelea kufungwa

    Suala la efd ndio mtihani kabisa! Nimekwenda kuupdate mashine yangu mwisho was cku nikaambiwa kampuni niliyonunua wakayi huo imeshafungwa au haipo sasa naambiwa ninunue mashine nyingine ambayo ni sh 590000! Sasa najiuliza kosa langu ni lipi? Kama kampuni ishafungwa kwa nini kusitafutwe utaratibu...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    Washatuona cc watanzania HATUNA AKILI! Kwa 7bu anaweza akasimama kiongozi anayeaminika na pia ni MSOMI mzuri kabisa lkn akaongea kitu ambacho hata mtu mwwnye Akili ya kawaida AKAMSHANGAA! Haya mambo kuna wengine WANAYAFURAHIA kbs lkn TUSIPOPIGA kelele ya KUKEMEA ipo siku tutakuja kuona MAAJABU...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Shirika la ujasusi la Uisraeli Mossad

    Wapelelezi cyo watu wazuri
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi kuitwa Rais Mteule kabla hajachaguliwa na wananchi ina maana gani?

    Huu Uhuru wa kutoa maoni wakati mwingine SIO KABISA! Kwani unaweza ukatoa maoni yako bila kuyatafakari na ukajikuta umetoa pumba! Na watu wenye UELEWA wakakushangaa na wewe mtoa maoni ukawa unajichekea tu kama zuzu kwa kujiona USHATOA MAONI YAKO!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Wanyonge ni watu wenye cfa gani? Maana kila sehemu mwananchi akilalamikia jambo anajiita MNYONGE! Nisaidieni ili nami nijue icjekuwa nami ni MNYONGE ila cjijui tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo kwanini yuko kimya kuhusu suala la Meya wa Dar?

    Anasubiri maelekezo kutoka kuckojulikana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

    Kama tetesi hii itakuwa kweli bc kama ANGECHAGULIWA kuwa mwenyekiti bc ANGEANDIKA historia kwa mwenyekiti was chama kikuu cha upinzani KUUNGA mkono JUHUDI! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kisiasa huishia kwa kugawana vyeo na si kuleta maelewano ya wananchi mfano ni Zanzibar na Kenya

    Maridhiano huja pale WANAOHASIMIANA wote WANAKOSA! C mmoja anapata na mwingine hapati!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

    Ni matumizi mabaya ya elimu! Wasiingilie mambo yetu ya ndani ina maana WAZIDI kutuonea tu!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Dk Bashiru: Vyama vya upinzani vitakufa kimoja baada ya kingine

    Ni ULEVI tu wa MADARAKA! Wanafika wakati wanajitoa UFAHAMU! Wanatuona watanzania kama PUMBA tu! Hatuna akili! Hatuna ufahamu! Hivi mtu mwenye Akili TIMAMU unaweza kumwambia hivyo wakati kila mtu ANAJUA vyama vya upinzani VINAFANYWAJE?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

    Maelezo ni mengi sana! Lkn UANGALIE tatizo linatokea wapi? Siasa INATUGAWA sana WATANZANIA! Kiongozi akishachaguliwa bc ni kiongozi wa WOTE eidha umchague au ucmchague! Lkn viongozi wetu hasa walioko madarakani ndio WANAONGOZA kwa KUTUGAWA! Hebu WASEME pale unapoona kuna UBAGUZI! Mf chukulia...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Cku zote watanzania ni WANYONGE! Mwanzo tulikuwa wanyonge kwa MAFISADI lkn sasa ni wanyonge kwa WANASIASA! Na TUTAZIDI kuwa WANYONGE japo CJUI mpaka lini? Wanaongea mbele ya HADHARA bila haya wala wcwc! Lkn mioyoni mwao WANAJUA kabisa kwamba ukweli ni UPI
Back
Top Bottom