Recent content by Ernest Malale

  1. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Hao nguvu zao za soda tu!
  2. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo, nawasihi vijana wenzangu mtulie

    Ukimwi ni hofu yko tu.
  3. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

    Halotel iko njema sana mpaka vijijini
  4. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Vipi na nyinyi mmegundua tatizo la muda kwenye simu yaani kuwa dalika 5 mbele?

    Mi mwenyewe nimeshangaa dk tano mbele mpaka sometimes nawaza labda itv saa yao inachelewa lakini nina simu ambayo si smartphone saa yke iko sawa tu
  5. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Ajali maeneo ya Sinza Africa sana usiku huu

    bora Hakuna aliyekufa
  6. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Shujaa wangu mimi 2014, Mama achambua matembele ndani ya daladala

    Wanaweza kujipodoa tu!
  7. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!

    Mbona kwenye play station wanacheza watu wazima tena wenye kaz za maana
  8. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Jambazi akamatwa Kimboka, Buguruni

    Mbona chalii
  9. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena

    Jamani nimerudi tena nina muda mrefu sana kila nikiingia jf inakataa lakin leo nashukuru naweza kuchangia sasa!
  10. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawatimua mafunzoni Wanafunzi 212 kwa kugushi vyeti

    Chuo cha Polisi Moshi kitengo cha mafunzo ya awali kwa ajili ya Askari polisi maafuru kama Makuruta wakiwa katika mafunzo, wamewafukuza Makuruta mia mbili na kumi na mbili (212) kwa kosa la kugushi vyeti vya vya masomo vya kujiunga hapo. Wamefukuzwa ikiwa wamebakisha miezi minne tu ya...
  11. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Neema za mvua

    Mvua pande za Korogwe ni nyingi xana tunashukuru kwa sisi wakulima itasaidia xana ktk ukuaji wa mazao yetu,thanx u God.
  12. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Mliopangiwa Bulombola Kigoma

    Sio una bahati sema nilifanikiwa kushikwa mkono,ila ujue depo kugumu kweli ndugu yangu
  13. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Hii ndo Hofu Yangu Juu ya Ajira za Uhamiaji

    Ajira tatizo TZ watu 200 hawatoshi kabisa hao ni sawa sawa na wa mikoa miwili tu,but tusikate tamaa.
  14. Ernest Malale

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Mwenye kujua kampuni ya OMEGA NITRO (T)LTD inahusika na nini.
Back
Top Bottom