loykeys
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 1,175
- 912
Gari aina ya Mercedes-Benz c 220 yenye no za usajili T 266 BRW iliyokuwa imegeshwa kando ya barabara karibu na corner bar africa sana imegongwa na gari aina ya mistubishi pajero GDI na dereva wake kukimbia baada ya kusababisha ajali hiyo mpaka sasa hajapatikana na traffic amefika eneo la tukio....
Chanzo: Mimi mwenyewe
Chanzo: Mimi mwenyewe