Recent content by erikinase

  1. erikinase

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Nina Samsung note 4 imekufa display inaweza kupona?na itagharimu bei gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. erikinase

    Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Mungu yu pamoja nawe mheshimiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. erikinase

    Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Mungu yu pamoja nawe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. erikinase

    Ajali: Basi la Hood Limepata ajali Iringa Milima ya Kitonga

    Hood lilikua likitokea mbeya tumepishana nalo mchana saa 7
  5. erikinase

    Nahitaji pesa Milion 68

    Benki zote hapa Tanzania unakuja kukopa jamii forum
  6. erikinase

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanawake na nguo za uchi.

    Maisha yanarudi enzi za ujima ..kabla nguo hazijagundulika
  7. erikinase

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Jamani naombeni niulize eti mbona nikiingia kwenye akaunti yangu ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu inaandika did not apply for higher student loan for 2016/2017? Wakati nili apply tu vizuri na sikukosea
Back
Top Bottom