Recent content by erick13

  1. erick13

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    alikuja kuleta ujumbe wa Mungu kwa wezi na vibaka watubu lasivyo watakiona cha mtema kuni
  2. erick13

    JamiiForums Tanzania Nabii TB Joshua awasili nchini Tanzania, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli

    umejuaje kama nawewe siyo mganga nguli?
  3. erick13

    JamiiForums Tanzania Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

    bado ni mwanachama cuf siyo kiongozi. kaongea kama mwanachama
  4. erick13

    JamiiForums Tanzania Uko wapi Dk Wilbroad Slaa? Njoo ushuhudie anguko la Mafisadi

    mkuu hiyo tumechenji gia angani. Lowassa Raisi asubuhi
  5. erick13

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    keep quit or shut up ur mouth Mr kikwete
  6. erick13

    JamiiForums Tanzania Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    umemaliza?
  7. erick13

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    safi sana... chama cha majizi lazima kitoke bado siku 3
  8. erick13

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    pomoja kamanda ukombozi unakaribia
  9. erick13

    JamiiForums Tanzania Tutasogea mita2 mashaka yakijitokeza

    Ok tukae mita200 kusubili matokeo yabandikwe na mshindi atangazwe sawa. Iwapo tutatia shaka ya kinachoendelea ndani tunahaki kusogea zaidi ya mita2 kuhoji kwa sababu jeshi la polisi na tume ya uchaguzi wote wako chini ya mwenyekiti wa ccm hatuna imani. Ndg wamajamvi mkuu wa kaya katoa tamko...
  10. erick13

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ajali ya chopa iliyombeba Filikunjombe

    chopa za ccm ni chakavu kama chama chao.
  11. erick13

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    kwa faida za mwenge ni zipi? maana nashangaa
  12. erick13

    JamiiForums Tanzania Star TV mjutie na mjifunze

    Startv imekuwa kama tv ya kijani sasa propaganda kibao
  13. erick13

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Mafuriko hayazuiwi kwa mkono
  14. erick13

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    kama habari inavyosema maneno hayo yote ni ya vijiwe vya kahawa basi nasisi tunaamini hayana maana wala ukweli wowote.... CCM lazima watoke mwaka huu no matter what?
Back
Top Bottom