Mwisho wa chadema mafisadi ni leo yes! Lakini ndio mwanzo na ibuko la chadema asilia. Dr Slaa huko uliko jiandae kuja kuchukua uongozi makiniMkuu sio kwamba imezimiwa ardhini. hii gia ya mbowe haina tofauti na ile iliyopigwa na rubani wa ndege ya malasya, mpaka leo ndege haijajulikana iliko. Mwisho wa chadema ni leo
Km mimi nimeangalia vidole viwili nikapiga tiki yangu taaraaatiiibu bila papara....nilianza na diwan..mbunge ya rais nikachukua nikaweka waaaaa....ht sikushughulika kuangalia suraNipo kwenye foleni karibia watu wote wanasema bila kufunga macho kura ni kwa lowassssssa kwa maana hiyo na lazima tuzilinde
Utakuwa umefyatuka wewe.
OYE OYE OYE Magufuli ameshinda kwa asilimia 72%, wabunge asilimia 68% madiwani asilimia 64% ushindi wa kishindo, Tunamshukuru mola, Ameen