Recent content by ERICK YUSTO

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwalimu kubadilishana Kituo cha Kazi

    Kwa Mwalimu aliyepo Dodoma anataka kuja Kahama..0763321717
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mbona Taifa kama halina furaha? Hofu, Chuki, mitafaruku imetamalaki

    Ukiwa unazungumzia mabadiliko lazima utambue kuwa ni lazima ya guse maisha ya watu na sio miti wala ng'ombe...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga, amkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba Ofisi Rasmi

    Adui yako sio tu anayekushambulia hata anayekukumbatia.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi (NEC) yakabidhi ripoti ya Uchaguzi 2015 kwa Rais Magufuli. Mikutano ya Vyama vya Siasa marufuku hadi 2020

    Unapomzuia mwanasiasa kufanya siasa unataka afanye mini.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Ivi wakuu Mwakyembe mbona anafanya saisa ya kitoto sana.kuzungumzia Richmond na kuacha kashfa nyingne ni utoto kabisa kisiasa.Najiuliza alikuwa wapi muda wote mbona hawa wanasiasa wa tz ni vigeugeu hivi.Mwakyembe mbona yako husemi.Jaman nakiri mimi ni ccm ila sipendi siasa kama hii ya kitoto...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Mkuu iwe imeandaliwa hata mwaka maana hata ilani inaandaliwa kwa muda mrefu.ishu ni kinachozungumzwa kina tija au lah
  7. E

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Wakuu Lowasa anashusha nondo za maana.mimi ni ccm ila Lowasa ni kiongozi mwenye maono makubwa sana
  8. E

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Wakuu wanaosema cheo cha mkuu wa mkoa kifutwe ni wazi hawajasoma katiba vizuri.cheo cha mkuu wa mkoa kipo kikatiba lakinihakuna cheo cha mkuu wa wilaya kikatiba.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Vyeo vya wizara-waziri,naibu waziri,katibu mkuu,naibu katibu mkuu..haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma.hawa wote kazi zao ni zipi
  10. E

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ujue kwanini wananchi wanataka kuiadhibu CCM jumapili

    Huu uzi umeandikwa na mmoja wa watu wenye uwezo mkubwa sana wa kufikiri bila kujali itikadi yoyote..JET SALLI hongera mkuu nimekuelewa sana
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naipenda Tanzania kuliko CHADEMA na CCM

    Nimekuelewa mkuu cha msingi ni kuifikiria Tanzania kwanza kabla ya madaraka na vyeo.naomba niongezee kuwa sio tu kuachwa kuongoza bali pia watakaochaguliwa na wananchi pia wakatekeleze wajibu wao kama walivyo ahidi na kuapa mbele za Mungu aliye juu.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa asababisha timua timua ITV

    Only time will tell.na kwa yeye aliye juu Muumba wa mbingu na nchi kweli yote itathibitika kwa neno lake muda na wakati utakapowadia.Atukuzwe Mungu aliye juu na mtoa afya kwa viumbe wake mimi ni nani hata kumnyooshea kidole kiumbe mwenzangu kwa afya yeke.eeh Mungu usinipe ulimi wa kuwasema watu...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini gazeti la Uhuru hawakuipa Uzito habari ya kifo cha Deo Filikunjombe?

    Kwa historia ya nchi yetu CCM tangu enzi za hayati Nyerere chama tawala hakikuwahi kuwapenda watu kama akina Filikunjombe ambao wawakuwahi kuficha maovu ya serikali yao na kuivua nguo serikali hadharani.tunawakumbuka akina Sokoine,Kambona,Kolimba,Chifupa ambao walitofautiana na mitazamo ya...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ni wabishi na waongo?

    Kama ungekuwa kiongozi wa serikali lazima utambue umuhimu wa kuthibitisha ukweli wa habari au taarifa fulani kwa umma kabla ya ku confirm.namaanisha kwamba tukio linaweza kuwa kweli au uwongo ila kukanusha ni kwa public interest mpaka itakapothibitika ndipo uikubali na kutoa ufafanuzi.Mf.taarifa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

    Wakuu tukisema tuchambuane kwa kuhudhuria misiba hapa tutajikuta na sisi pia tunatenda dhambi kwa kutohudhuria baadhi ya misiba kwa sababu tofauti pengine zipo nje ya uwezo wetu.pia kwa sasa misiba ya wapendwa wetu ni mingi sasa hapa unaangalia uhitajika wako kwenye misiba hii na ukaribu...
Back
Top Bottom