Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

Khaaa ww unaeupate mada uache oungo na ss tunaangalia hyo mada ya utajiri bado hajasema jaman au ndo unayo clip nzima??
 
*tv ina njama za makusudi kumchafua mzee..ila hawamu hii watakiona...watakuja kulipa VAT % 90
 
Mwakyembe mwenyewe kule jimboni kwake yuko hoi. Mpaka anaomba akina Makonda na Nchemba wakamsaidie.
 
Heee maajabu haya, yaani wife ni ccm damu namshangaa kaondoa star tv na kusema hayo majinga jinga heri yangejificha uko yalipojificha sio kuleta unafiki saa hizi.

Mmh kweli huu uchaguzi ccm wajiandae kisaikolojia
 
Khaaa ww unaeupate mada uache oungo na ss tunaangalia hyo mada ya utajiri bado hajasema jaman au ndo unayo clip nzima??
 
Ivi wakuu Mwakyembe mbona anafanya saisa ya kitoto sana.kuzungumzia Richmond na kuacha kashfa nyingne ni utoto kabisa kisiasa.Najiuliza alikuwa wapi muda wote mbona hawa wanasiasa wa tz ni vigeugeu hivi.Mwakyembe mbona yako husemi.Jaman nakiri mimi ni ccm ila sipendi siasa kama hii ya kitoto kabisa.Mwakyembe ulikuwa wapi kwa miaka 8 hadi leo zungumzia basi ESCROW,EPA,KAGODA,MEREMETA,NYUMBA ZA SERIKALI mbona mnatudhalilisha sisi wana ccm kwa siasa hizi za kitoto kabisa.watz walishaamka muda sana
 
Namuomba Kipanya kesho kwenyw ile katuni yako bora umuongezee Mwakyembe. Kweli ccm mtataga tu jpl. Mmetumia kila mbinu lakini tushaamua kubadilika.
 
Ndio hapo sasa...

CCM wanafiki sana hawa watu, kuna mituhuma kibao inayohusisha serikali lakini hawajawahi kuchukua hatua hata siku moja...

Ishu ya Richmond wamepewa jibu moja tu, waende mahakamani kama kweli wanajua Lowassa ni mwizi...

Alikua Wapi?
 
Hapa atuangalii ujinga wetu hapa Bali ni muda wa kulileta kwa jamii.
Mm naona kama kuna ushaid wa kutosha basi upelekwe mahakaman ili tujue ukweli kama ilivyokuwa kwa DANIEL YONA na BASIL MRAMBA
 
Mwakyembe mwenyewe kule jimboni kwake yuko hoi. Mpaka anaomba akina Makonda na Nchemba wakamsaidie.

Anataka huruma kwa wapiga kura wake baada ya lowassa kumsambaratisha jimboni kwake
 
Muda wote mlikua wapi Siku zimeshaisha mwakiembe atuna habari na mambo ya rich je, escrow iko wapi sasa hivi ni muda wa mabadiko.
 
Back
Top Bottom