Recent content by Erick MR

  1. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwajili ya kujifunza kucheza casino mtandaoni

    Jinsi ya kucheza mchezo wa sweet bonanza Mchezo wa sweet bonanza ni mchezo Rahisi kabisa wa slot hauhitaji ujuzi maalum au ujuzi mkubwa kuucheza Kuna bonanza ya madubwi na bonanza ya mtandaoni .Hapa kuna hatua za msingi 7 za kucheza dubwi la sweet Bonanza ila hili linapatikana mtandaoni. 1...
  2. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila la kheri Taifa Stars katika mchezo wa Niger vs Tanzania

    Game draw hii
  3. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwajili ya kujifunza kucheza casino mtandaoni

    Vyema un Ungetuelekeza walau mchezo mmoja mkuu unaopatikana huko kwa faida ya wengi maelezo yame jikita kwenye kujiunga tu
  4. Erick MR

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumbaku inatumika na Mirungi inakataliwa?

    Nimejaribu kupitia Sheria ya dawa za kulevya Tanzania na nimepata maswali mengi sana kuhusu orodha ya dawa za kulevya inakuaje sigara inayotengenezwa na tumbaku kuruhusiwa kama zao la kibiashara na Mirungi kukataliwa ilihali vyote vina madhara kwa afya ya binadamu. Hapa kwetu Tanzania...
  5. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Milioni 50 kwa Buku?

    Unajiona upo Ibiza na watoto wakali wadachi na walatino unagonga mvinyo 😂😂
  6. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Milioni 50 kwa Buku?

    Unaona umeshinda tayari hatakama timu hazicheza alooh!!😂😂😂
  7. Erick MR

    JamiiForums Tanzania If I die alone at home, how many hours or days will pass until my pet dog, cat or bird eats me?

    😂😂😂Hujala mkuu? Maana bila kula huwezi elewa
  8. Erick MR

    JamiiForums Tanzania Kuna Urahisi au mbinu katika kubeti?

    Nyie mna Muda hata wakusikiliza tuulizeni sie ma pilot wa vindege una weka 200 unasubiri kindege kipae upate hata buku unambulia shwiiii ...hela zijakuja kutuua walai
  9. Erick MR

    JamiiForums Tanzania Naweza kujenga kwa mshahara wa laki tatu?

    Wakuu naombeni ushauri nimeajriwa na nalipwa mshahara wa laki tatu kwa mwezi Nina ndoto za kununua kiwanja na kujenga pia Naombeni ushauri nifanye nini au kitu gani nizingatie niweze kufikia lengo. Kwasababu mshahara huu ndio nautegemea kwa Kila kitu.
  10. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa utafute mpenzi mjenge maisha wote au utafute maisha ndipo utafute mpenzi ?

    Habari Wana JF ningependa mtazamo wenu katika hili mara nyingi sisi wanaume tunakutana na mikanganyiko katika maisha ya mahusiano hasa suala la kutafuta wa mtu sahihi wa kua naye kwenye maisha (ndoa) ,Je ni Sahihi kumtafuta mtu mjenge maisha wote au utengeneze maisha kwanza ndipo utafute mwenza?
  11. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

    Unyama mwingi
  12. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kijinga uliwahi kufanya ulipozama kwenye mapenzi?

    Kwanini tu google tuelezee tu hapa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwajili ya kujifunza kucheza casino mtandaoni

    JINSI YA KUCHEZA ZAIDI YA MICHEZO 160 YA LUCKY NUMBERS KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI. DROO HUCHEZWA KILA DAKIKA. Mchezo wa lucky numbers unapatikana sportpesa nimuunganiko wa michezo 160 yenye masoko zaidi ya 14 ambayo unaweza kuchagua namba uzipendazo kwenye Kila raundi ya droo husika . Kumbuka...
  14. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kijinga uliwahi kufanya ulipozama kwenye mapenzi?

    Jana nilikua namsikiliza dada mmoja maarufu kwenye kipindi kimoja akielezea mkasa uliomkuta baada ya kumsaidia mpenzi wake ambaye alikua hana kazi wala pakukaa, kwakua yule dada alikua ameajiriwa na anapokea mshahara mzuri akamchukua akawa anashi naye kwake na kumhudumia kwa Kila kitu hadi...
  15. Erick MR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Which African teams have had the best jerseys?

    If is up to 2021 ..my pick is Senegal 2020/2021 home kit
Back
Top Bottom