Recent content by ERICK GERVAS

  1. ERICK GERVAS

    JamiiForums Tanzania kifo cha Mangwea.

    hivi ni kwa nini wasanii wa Bongo wa kizazi kipya hawataki kuwa na umoja, hasa kwenye tukio la msiba wa mpendwa wetu. Albert Mangwea? hebu mjifunze ushirikiano toka Bongo Movie.
  2. ERICK GERVAS

    JamiiForums Tanzania Mamia Wauaga mwili wa Mtoto Elisha Evans aliyeangukiwa na geti Kimara

    Rest in peace Mungu kakupenda zaidi, ila ulikuwa bado mdogo sana. Tulikuwa bado tunakuhitaji Elisha.
  3. ERICK GERVAS

    JamiiForums Tanzania Magufuli kutofautiana maelezo na rais tueleweje?

    Hakuna jipya wizi mtupu, takwimu zote ni za kugushi, na inaonesha hakuna mawasiliano mazuri.
  4. ERICK GERVAS

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa ndani ya Mwenge Universiry College - Moshi tarehe 12.01.2013

    Anakaribishwa sana hapa Mwuce.
  5. ERICK GERVAS

    JamiiForums Tanzania Kitambi noma.

    vitambi vingine noma. Mazoezi yanatakiwa
  6. ERICK GERVAS

    JamiiForums Tanzania Kidato cha sita kwenda jeshi 2013

    Hilo swala bado na liko kisiasa zaidi. Na wewe umepataje orodha ya hizo Shule?
  7. ERICK GERVAS

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

    Ni kweli kijana tutagawana vya kwao. huyu mwanamke hafai kabisa kuigwa na jamii. Mahakama inamgoja.
Back
Top Bottom