englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mhhhh hongera kwa picha yako mkuu englibertm
bibie King'asti ukifika hatua kama hiyo ujuwe kuwa wwe ni mgonjwa sio unene wa afya huo ni ugonjwa ndani yake ana kilo zaidi ya 200 huyu kwa Dawa zangu itabidi atumie zaidi ya miaka 2 ndio aweze kupunguwa huo uzito wake na unene wake kasheshe kweli lakini ajabu pamoja na huo unene wake anaweza kutembea kwa miguu?Hapa MziziMkavu hata akiniambia ninunue dawa za pesa milioni wala sibishi!
bibie afrodenzi hapo hana cha Sex Life ndizi yake itakuwa ni ndogo kiasi cha kutokea haja ndogo hana kitu hapo.......dahhhh huyu jamaa anatakiwa apige zoezi pamoja na diet ya hatari . baada ya hapo surgery . maana akifanya kimoja au viwili havitasaidia .. Pole yake kwakweli. I don't want to think about his sex life ...........
Duuuuu hapo Dushelele itakuwa kama kidole cha mwisho cha mtoto aliyezaliwa leo.
Kwa nn iwe ndogo kwan kuna mahusiano gan kat ya kitamb na mpin......nifafanulie apo