Ni kweli hizo imani zipo, lakin mmezipiga fitna sana kwamba ni potofu mpaka watu wamepoteza mvuto nazo... 'Lets go back to our roots' Na saiv 2naambiwa mtazamo tulio nao juu ya mahusiano ya jinsia moja ni potofu lkn bado watu tunabishi, baada ya muda tutaona kawaida na vizazi vyetu vijavyo...
Hizo dini walikua nazo wao, zimekua tu ziki evolve taratibu! Mfano ktk ukristu kuna Othordox ambayo sasa kuna Ordhodox-Ukraine, Orthodox-Russia zote hzo n tafauti. Kuna RC, Anglican etc nasasa kuna kina Gwajizo, Kakobe, Rwakatare etc yaan kama political parties. Dunia inabadilika na mambo...
B
Babu zetu walikua wanamuabudu mungu huyu huyu ambae wao wanamuabudu, hao jamaa walipokuja wakawahadaa babu zetu na kuwaambia hivo mnavoabudu ni miungu na sio mungu wa kweli!
Lkn angalia sasa, sisi wakatoliki tunaendaga kusali kwe sanamu ya bikira maria/yesu makanisani sasa hyo inatofauti...
Kwa waKristu wenzangu ambao kwe makanisa yao wanawekaga hadi bendera ya Israel. FYI Israel is a Jewish State and Jews are not Christians, lkn ndo tunawahusuduuu wakati we don't relate! Yaan ni sawa na kuweka bendera ya Saudi kanisan
Tibet, Nepal & Mongolia walikomaa na tamaduni/iman zao, hawajui Biblia wala Quran
Sasa sisi wa C&P tumechukua ya middle east tuka paste pwaaa...
Turudi kwe asili yetu ya kutambika! mbona wazee wetu waliweza, turudi kwe iman za mababu zetu
Mimi hua nasema hivi hizi dini TULIZOPOKEA ulikua ni utamaduni wa jamii flan huko kwa wenzetu. Naamini mungu yupo nasisi kabla ya hawa watu kuja ku-polute jamii zetu na huo utamaduni wao wa kuabudu sisi tulikua tuna-abudu kivyetu na miujiza ilikua inatokea kama kawa. Mfano wakati wa ukame watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.