siasa ya ujamaa ilikuwa nzuri sana ,mwl nyerere aliwaza mbali sana juu ya siasa ya ujamaa ,ilikuwa inajali watu ,siasa hii ilijaa utu sana ,kipindi hicho watu ,walipata huduma nyingi bure zilizo tolewa na Serikali ,watanzania walithaminiwa sana ,Leo hii siasa za soko huria zimeua utu asiyekitu...