erastosichila
Member
- Jun 8, 2017
- 70
- 42
Hadi leo VYAMA vya Republicans na Democratic vipo ,kunadhani ya nchi nyingi za Africa watu wake kutaka VYAMA vya Siasa vya zamani vife hili ni wazo baya na sio sahihi ,wamarekani enzi zote Republican na democratic vipo hadi leo , ukweli ilikukomaza Demokrasia VYAMA vya zamani mfno Ccm yaani tawala swala siyo KUTAKA ife hapana iwepo ,ila kama chama lingine kikichukua utawala basi kwa kipindi kadhaa ,Ccm iwe inarudi kutawala tena hapo watu wata elewa maana ya Demokrasia ,sasa kwasasa VYAMA vinaonyesha KUTAKA kutawala nao muda mrefu jambo ambalo ni kosa.
VYAMA PIA VICHUKUE SURA YA KITAIFA
Ukweli VYAMA vya Tanzania ni kama VYAMA watu sio vya kitaifa unaona chadema iwekweli au sikweli ni kama ya wachaga,Cuf iwe kweli au si kweli ni kama ya Wapemba ,hii inapelekea watu kutoona utaifa ndani ya VYAMA hivi huu ,ndio ukweli ,NI kweli Ccm ni chama cha zamani ila kinabeba utaifa ,huwezi fikiria kuwa nicha kabila gani,hapo ,Mwl Nyerere alicheza karata Kali big brain ,LEO watu wa mikoa ya kusini ni kama tunahisi hivi VYAMA sio vyetu ,yaan haviko kitaifa ,kwa sura hii huko mbele vikitawa mie naona vitaleta sura SISI NA SIO NYIE.Naogopa ,napenda nchi enye upinzani ILa KWA sasa VYAMA haviko kitaifa.naomba vyenye kujua hili atusaidie akina sisi juu ya utaifa wa kichama . sijawahi kuwa na chama ILa bado napenda UJAMAA WA MWL