erastosichila
Member
- Jun 8, 2017
- 70
- 42
siasa ya ujamaa ilikuwa nzuri sana ,mwl nyerere aliwaza mbali sana juu ya siasa ya ujamaa ,ilikuwa inajali watu ,siasa hii ilijaa utu sana ,kipindi hicho watu ,walipata huduma nyingi bure zilizo tolewa na Serikali ,watanzania walithaminiwa sana ,Leo hii siasa za soko huria zimeua utu asiyekitu utuwake umetwezwa ,mwananchi sasa ,hapati huduma bure ,Wazee ndio kizungumkuti ,hadithi za kutibiwa bure ,ni kawaida sana
Naamini Raisi wetu akiamua aweza rudisha Siasa hii ya Mwl Nyerere ,angalieni Leo hii Soko huria huria limeleta shida mno tumebaki kila mmoja anashindana spate kisicho chake ,ajilimbikizie mali akipata ajira nzuri basi ndio nafasi ya kujilimbikizia Mali zisizo zake akizulumu wengi na kuiba Mali ya uma waziwazi ,ukweli utandawazi ni unyama au ni kinyume cha ubinadamu.
Ebu utawala huu hataujao uje urudishe Ujamaa Ubinadamu ,urudi ,ukweli dunia imekwisha ndani ya utandawazi .
Leo zimezuka dini au madhebu ya utandawazi ya kutafuta pesa tu wanatumia jina LA Yesu kristo wazi wazi kuibia wengine ,utasikia huku kuna pesa njoo uchukue ,muda kidogo ,mchungaji huyo anakuwa millionea mkubwa ,wengine umasikini wa Mali na akili ndio unazidi,hizi zote ni Siasa za utandawazi wizi mtupu.
Kwenye ujamaa mwezi wataanikwa na kuadhibiwa .
Ujamaa ilikuwa tunu ya taifa .Leo Demokrasia zimesababisha chuki Africa ,uasi na kuuana hakuna jema vizazi havioni mbele future .vizazi visivyo penda kufanya kazi ndio vinazidi ndani ya siasa za utandawazi, vijana wanamaliza vyuo na vyuo wote kusubiri ajira .elimu ya kujitegemea imekufa.Leo Mchina na degree wanauza Katanga kwenye toroli lakini wasomi wa Demokrasia wanasubiri ajira zisizo kuwepo abadani.
Tuurudie ujamaa turudishe upendo na Amani