Harakati za kampuni ya Namaingo..

Harakati za kampuni ya Namaingo..

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Harakati kabambe za kampuni ya Namaingo Businesy Agency LTD kuhimiza kilimo biashara kwa wananchi.

Ulikuwa ukaguzi wa mradi wao wa shamba darasa la viazi lishe february 2018 wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani..
 
Attachments

  • IMG-20181223-WA0073.jpg
    IMG-20181223-WA0073.jpg
    54.5 KB · Views: 29
  • IMG-20181223-WA0072.jpg
    IMG-20181223-WA0072.jpg
    41.7 KB · Views: 34
  • IMG-20181223-WA0071.jpg
    IMG-20181223-WA0071.jpg
    59.8 KB · Views: 33
Harakati kabambe za kampuni ya Namaingo Businesy Agency LTD kuhimiza kilimo biashara kwa wananchi.

Ulikuwa ukaguzi wa mradi wao wa shamba darasa la viazi lishe february 2018 wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani..
Usitutoneshe vidonda vinakaribia kupona
 
Hivi bado mnaendelea???
Harakati kabambe za kampuni ya Namaingo Businesy Agency LTD kuhimiza kilimo biashara kwa wananchi.

Ulikuwa ukaguzi wa mradi wao wa shamba darasa la viazi lishe february 2018 wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani..
 
Kala 150 elf yangu
Mm nadham kala kama 300,000/= flan hiv yule mama sema pale ndio nilipojifunza kuwa hakuna atakaye hangaika akuletee maendeleo ww ufaid kirahis tu..nikasamehe na kujiona fala mm then maisha yamaendelea..😛😛
 
Pale niliongeza shule, hahahahaa
Bado najiuliza, kwanini bado hajafungwa hata awamu hii ya tano?

Kuna watu wa kipato cha chini kawasababishia matatizo makubwa sana, aliwapa ahadi za asali na maziwa, wakavunja vibubu, kwa kutegemea neema, wameishia kuambulia maumivu.

Mwanzoni huenda alikua na nia ya dhati kusaidia watu, utamu wa pesa na tamaa ukaingia katikati ikageuka kuwa biashara ya kumnufaisha zaidi yeye tofauti na mahubiri ya awali.
 
Niliwaalika kwenye mkutano kuwapa somo wanachama wa kikundi chetu..mtoa mada alikuwa anazungumzia mipango ya mabilioni niki mtathimini naona hafanani na hiyo hela anayoizungumzia.

Pili alikuja na dala dala toka ukonga mpaka Bunju.
 
Pale niliongeza shule, hahahahaa
Bado najiuliza, kwanini bado hajafungwa hata awamu hii ya tano?

Kuna watu wa kipato cha chini kawasababishia matatizo makubwa sana, aliwapa ahadi za asali na maziwa, wakavunja vibubu, kwa kutegemea neema, wameishia kuambulia maumivu.

Mwanzoni huenda alikua na nia ya dhati kusaidia watu, utamu wa pesa na tamaa ukaingia katikati ikageuka kuwa biashara ya kumnufaisha zaidi yeye tofauti na mahubiri ya awali.
Wale walikuwa Matapeli tu. Maana hiyo miradi yao walianzisha Tz nzima kwa mkupuo kama walikuwa na lengo zuri kwanini wasingeanza na mikoa ya mfano?
 
Project yeyote ikutakayo utoe Pesa kwanza jua wwe ndiwe hela

Back
Top Bottom