Recent content by Erasto son

  1. E

    Nahitaji ushauri kuhusu Mkopo wa kujenga nyumba

    Mkopo ni mzuri kama unautumia kuzalisha, lakini hata kwa kujenga/kununua nyumba kama ulikuwa na huo mpango sio mbaya sanaa, lakini vitu vya msingi kwenye mkopo ni kujua riba yake, malipo yake kwa mwezi na utalipa kwa miezi mingapi(muda gani) na taarifa hizi utazipata bank unayoenda omba mkopo na...
  2. E

    Nimeonja uchungu wa mauti ndotoni - Je, nini maana ya hii Ndoto?

    Ndugu nikushauri tu umuombe MUNGU akusaidie kama kuna jambo baya litakuwa linataka kukujia wewe au wa karibu yako akuepushie maana ndoto huwa ni kumbukumbu ya mambo uliyofanya sana au kufikiri kabla ya kulala lakini pia ndoto hutoa taarifa ya yanayokuja so kama ni jambo lililokufanya uamke ukiwa...
  3. E

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kwa taarifa nilizopewa ni kwamba mwalimu wa higher diploma ananza na laki 5 lakini take home ni laki 4 na kidogo wakati wa degree waliopangiwa mwaka huu wameanza na laki 6 huku take home ikiwa laki 5 na kidogo!
  4. E

    Kwanini walimu hawazeeki mapema?

    Mh kumbe now wanaohitaji kuchelewa kuzeeka ni mwendo wa kuwashauri kuwa walimu! but nadhani uwalimu ni mazoezi tosha, (naunga mkono hoja)
  5. E

    Hesabu za Noah waungwana

    Nimeyapenda hayo maelekezo ndugu japokuwa sie niliyeuliza ila nimependa hiyo point ya a/c specific ya gari!
  6. E

    Kukubalika kwa Lowassa: Pesa, Ujinga, Upumbavu au kuichukia CCM?

    Hii ni hali ya kukichoka chama tawala iliyondani ya watanzania wengi(yaani wanaichukia ccm) , lakini ukweli ni kwamba mtu akibadilika kwanza ndo nchi pia itabadilika(hivyo jambo la ujinga linaingia hapo), hivyo ni vema watu tukafahamu hilo ili upinzani usije ukawaOVERESTIMATED alafu wananchi...
Back
Top Bottom