Recent content by Er pupone

  1. Er pupone

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Hujuma, Sehemu ya Kwanza (1) Bahari ya Hindi

    Safi iko poa sana
  2. Er pupone

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Wanasiasa wa Upinzani wasichukuliwe na Serikali kuwa ni Maadui

    Zama zake zimeshapta kama zama za mwisho za mawe ni yy alipaswa kutupeleka pazuri kama alivyo jipigania 2010! But hatuna jinc tulisha teleza tujifute tuendelee na safari yetu ya zoruba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Er pupone

    JamiiForums Tanzania Ticket za EFD mabasi yanayoenda mikoani

    Daaahh jitahidi bana maana wenye mitaji midogo hadi tunaogopa kufungua biashara tukianza kufikilia hzo machine.. Maana mwanzo walisema kwa wale wenye mitaji kuanzia kiasi fulani ndo watumie ila ikaja kubadilishwa mpaka mnywa kikombe cha chai apewe risiti Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Er pupone

    JamiiForums Tanzania DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!

    Duuuuhh!!! Bomu au mmesikia vbaya jamani??? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Er pupone

    JamiiForums Tanzania Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    For me Harmo rapa atakua the best kulko king wa k.koo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Er pupone

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume, zama zimebadilika, upikiwe? Kwanini wewe hupiki?

    Inawezekana akawa ameshaachika ss anatafuta wengine waachwe kwa style ya kuwajaza kiivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Er pupone

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Milanzi Kamishna wa Oparesheni Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya

    Hv hko kitengo alichomteua kinahusiana na TAKUKURU mkuu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Er pupone

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    [emoji124] [emoji125] Shiiiiii kimya kimya napta Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom