Tatizo la baadhi ya watumishi huwa na nyodo mno huwenda hata Wewe ulianza kujigeuza Mungu mtu kwa mgojwa ikabidi akunyee no Way jaribu kumpiga uone utasakwa mitaani mwisho utakula visu vya makalio
Tatizo kubwa lipo kwenye System mpaka leo bado watu wanafanyia kazi miongozo ya Nyerere Nchi zingine zinaenda speed na tekenolojia sisi tunakomaa na Nyerere
Hiyo sumu ilitumika enzi za kale Sana na mpaka leo hii baadhi ya sehem ilizotumika wakifanya utafiti kwenye mito na Ardhini wanaikuta ilionekana kua na madhara makubwa Sana na watafiti walienda mbali Sana na kusema kwamba yale maeneo iliyotumika hata pakipandwa nyanya ukizifanyia utafiti...
Chukua mfuko wa plastic ukaenao karibu na ndoo ya maji then Anza kuchota yale maji na kumwaga mle kwenye mfuko utaona matokeo yake utaanza kuvimba na kutuna je ulisha wahi kuona binti kigori akiwa na kitambi kama jibu ni hapana basi tambua kwamba maji ya wanaume yameifanya hiyo mifuko itune we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.