Recent content by Equilibriums

  1. E

    JamiiForums Tanzania Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Kazi ya valuuuuu! Inasafisha memori. Kuna siku nimetwika valuu, konyagi na Serengeti. Sikumbuki nilifikaje geto na mguu unavuja dam huku mlango sikuufunga hata Kwa pazua. Pole mkuu Kwa fedheha hiyo.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mshahara na mafao ya diwani ni shilingi ngapi?

    40% ya mishahara yote.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimefika Geita na wilaya zake, Sijui Kwanini Hayati Magufuli hakujenga Airport Katoro badala ya Chato

    Bado upo katoro, njooo inbox nikuuzie kiwaja
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

    TCU wasipokee ushauri huu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Upinzani utapata zaidi theluthi moja ya wabunge 2025

    CCM lazima wadhibiti bunge, watashinda Kwa "njian yoyote". ⅔ lazima waipate. Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  6. E

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Idara Gani mkuu, Kuna mtu analipwa 700,000 kama mshara wake wa juu? Andika ukweli chief
Back
Top Bottom