Equilibriums
Member
- Jan 24, 2023
- 9
- 28
40% ya mishahara yote.
Mshahara ni Laki 3.Habari wana Jamvi,
Naomba kupewa elimu kuhusu maslahi na personal gain kwa mtu kuwa diwani ni sawa na posho an mishahara wanayopata wabunge?
Mil 25, Nina ndugu yangu wa karibu alistaafu udiwani, 2020 yeye alipata? Mil 25 bhana. Sijui kwa sasa.Nilisikia 15M ndo mafao Ila sijaamini bado
kipindi cha nyuma ilikuwa hiyo aliyosema mdau hapo 15m but now i don't know pay them. how about salary for per month?Hapana ni 25 mkuu hili nina uhakika nalo labda iwe imeshushwa. Yupo raisi mpuuzi alitangazq kushusha mshahara hadharani wajinga wakashangilia wasijue nje ya mshahara familia ya raisi hulipwa ml 70 kwa mwezi kujikimu.
hii umethibitishwa wapi mkuuMafao ni 12-14m baada ya kustaafu miaka 5
Yaan hapo inategemea pato la ndani la hamashauri husikaAha sawaa Basi 25M Ni kamzigo after 5 years