Recent content by ephrmfurahini

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania juu ya Waislam kushambuliwa, kutekwa na kuuawa

    Bora nikae kimya Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wezi waongo...kuna Mdada ameliza watu ktk watsap group kwa kujitambulisha kama maana forex.. Mwisho wa siku akaingia mitin na pesa za watu Sent from my thl 2015A using JamiiForums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wasio na Vitambulisho vya Utaifa Kutopata Mshahara?

    Acha uongo...kuna utaratibu umeandaliwa kwa wasiokuwa nacho...sizan kama ww ni muhusika...pia deadline ni 15 July... Acha kuishi kwa tetesi Sent from my thl 2015A using JamiiForums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mauaji Kibiti: Mkazi wa Nyambwanda, Hamis Ndikanye auawa kwa risasi

    Jaman mm nimekaa usiku kucha nawaza ni nini shida...lkn nikapata wazo ...HV mnakumbuka kipind flan polis waliua majambaz mkuranga na kisha kukamata silaha??? Je swali langu lipo hapa kile kias cha fedha kilikuwa sahihi kilichokamatwa na kilichotangazwa? Au polisi wetu walifanya figisu ambazo...
  5. E

    JamiiForums Tanzania IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Mtoa mada haupo serious.... Sielew unataka nn
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hapa Mheshimiwa alikuwa anataka kusemaje?

    Masanja sio msukuma....ni mtu wa mbeya...atupishe wasukuma tufanye yetu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wauaji Kibiti watoa Ujumbe kuendeleza mapambano na wadhulumaji, wasema watu waendelee kutoa taarifa

    Nina wasiwasi na akili yako...kima wewe
  8. E

    JamiiForums Tanzania Anayedhaniwa kuwa daktari feki akamatwa Muhimbili

    Huyu jamaa tulikaa nae nyumbani...alitudanganya anashida sana na alikaa nyumbani almost two year.,.na alituambia amesoma south Africa chuo kinaitwa wega
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania One s/msingi, O-level, A-level, UDSM apata shahada ya Uzamivu akiwa na miaka 30

    Ice cream na ubuyu wa mwalalimu lukuvi + miogo ya mama sada. Motongor alikuwa mtakatifu sana huyu jamaa kuanzia ukonga primary
  10. E

    JamiiForums Tanzania Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Mwanangu one year now...ameonyesha kupenda sana mziki akisikia wimbo wa jux hapalaliki....anaimba na kupiga kelele ....na akiwa amelala akisikia tangazo LA airtel money lzm aamke acheze kwanza ndio alale tena....yan nafurah sana kuona vituko vyake
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania One s/msingi, O-level, A-level, UDSM apata shahada ya Uzamivu akiwa na miaka 30

    Class mate wangu...hongera sana....
  12. E

    JamiiForums Tanzania Jipatie viatu classic kwa bei sawa na bure

    Unajua vizur bei za Viatu vya kiume??? Labda kama unavaaga yeboyebo ndio utapata kwa elfu mbili. Lkn mwanaume yyt anayejua maana ya Viatu...hyo bei ni sawa na bure kwa Viatu og
  13. E

    JamiiForums Tanzania Jipatie viatu classic kwa bei sawa na bure

    Acha majungu Mkuu....
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jipatie viatu classic kwa bei sawa na bure

    Sawa Mkuu ..nipigie namba 0653921339
Back
Top Bottom