Hapo ndyo mtoa maada sikumuelewa anapoongelea Urusi tu ndyo founder wa ugaidi hakuongelea USA, na makundi ya kigaidi yaliyoanzishwa na Marekani yako wazi kama Al qaida
Kwanza nipo hapa siyo kwa ajili ya kubishana, na inavyoelekea ujui kitu kuhusu ushoga marekan, ni kweli Trump anapinga ushoga kama yeye binafsi siyo marekani, hiyo misaada ya marekani imetusadia nini toka waanze kutusaidia kuna nchi ngapi ambazo hazikusaidiwa na marekani na wana uchumi kutuzidi...
Ni bora askar wetu watoke tu huko warudi nyumban, hiyo nchi tangu ipate uhuru aijawahi kuwa na amani, hiyo operation ya UN haiwez kuisha huko kila Rais atakayeingia madarakan atapingwa tu, na waasi wataendelea na vurugu
Kwahiyo kila anachokisema trump sisi lazima tukifuate, huo ni ujinga, lazima muonshe msimamo mfano kama Botswana licha ya kupinga kwa kura bado wameiandikia barua USA kuwa wasiwatishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.