Recent content by epafraditto frank

  1. E

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    shujaa zito kabwe..hakika leo usiku watu hawalali, leo ni mchezo wa kombolela aidha mawaziri husika wajiuzulu na kumuepusha mzee pinda na kikombe au pinda atolewe kafara, patamu hapo, naamini kabisa kesho zitapatikana sahihi zote 70. Hivyo jumatatu ni kura ya kutokuwa na imani.........mawaziri...
  2. E

    Hospitali ya tumbi-kibaha haina mashine ya x-ray kwa muda wa mwaka mmoja sasa

    Unaweza kufikiria ni utani vile...Hospitali teule ya Tumbi inayohudumia mikoa ya Dar, Pwani, Morogoro,Iringa na karibu asilimia 8% ya majeruhi wote wanaopata ajali ktk barabara ya Dar -Moro- Dodoma eti haina kifaa cha X-ray!!!!!!!!!! jamani yaani mwaka mzima, Rais yupo, waziri mkuu yupo, waziri...
  3. E

    CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

    ukistaajabu ya Musa utaona ya Lusinde..........
  4. E

    Oooh!! Sinta

    Oooppppssss.......kwaresima imeisha......
  5. E

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    TWAELEKEA WAPI WATANZANIA WENZANGU? " MAKE SURE THE BRAIN IS IN GEAR BEFORE ENGAGING MOUTH" LUSINDE HAJUI HILI? :eyeroll1:
  6. E

    Tucheke Kidogo ktk huu Mkesha

    kumalima ndo nini wadau?:)
  7. E

    Shambulio la wabunge na TBC1 reporting

    hakika hapa ndipo wamedhihirisha wazi jinsi gani wnavyotafuna kodi zetu bila faida..... sio sahihi kabisa kwa kutolipa uzito suala hili...angekuwa mbunge wa CCM ungesikia kauli kuanzia IGP, CHAGONJA, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI. TUTAFIKA TU IPO SIKU....TIME WILL TELL:A S shade:
  8. E

    hali tete Arumeru

    Jamani hawa ccm wanatupeleka wapi? Mbona hivi?
Back
Top Bottom