Hospitali ya tumbi-kibaha haina mashine ya x-ray kwa muda wa mwaka mmoja sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali ya tumbi-kibaha haina mashine ya x-ray kwa muda wa mwaka mmoja sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by epafraditto frank, Apr 16, 2012.

 1. e

  epafraditto frank Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kufikiria ni utani vile...Hospitali teule ya Tumbi inayohudumia mikoa ya Dar, Pwani, Morogoro,Iringa na karibu asilimia 8% ya majeruhi wote wanaopata ajali ktk barabara ya Dar -Moro- Dodoma eti haina kifaa cha X-ray!!!!!!!!!!
  jamani yaani mwaka mzima, Rais yupo, waziri mkuu yupo, waziri wa afya yupo, mganga mkuu wa mkoa yupo, mganaga mfawidhi wa hospitali yupo, radiographer(mpiga picha za xray)yupo....hawajui hili kwa muda wa mwaka mzima? jamani tuache mzaha na maisha ya Watanzania walipa kodi, hivi mashine hii ni shilingi ngapi? waungwana..ooopss.. nina hasira ngoja ninyamaze...
   
Loading...