Recent content by epacs

  1. E

    Sehemu ipi wanaume wakishikwa wanapagawa?

    hahahahaaaaaaaa,,,,mimi nadhani hili swali ndo wangejibu wanawake maana wao ndo wenye shughuli hiii ya kumshika mwanaume, sasa mimi mwananume inawezekana kweli kujua habari ambazo ningefanyiwa. wakujua ni mwenye mali. kama habari za mwanamke mimi mwanaume naweza kusema ama kufundisha. Ninyi...
  2. E

    Kinana amburuza Msigwa kortini

    ila jamani tusifumbe fumbe tu ,maneno.Jambazi kinana, kweli ni mwizi mchungaji msigwa anao ushahidi wa kutosha hata siku anasema haya hapo mwanza alikuwa nadocuments lukuki ambazo ni za ku-transport tembo na wanyama wengine kwa kutumia meli zake huyu kinana, kuna moja wa mabaria wake ndo katoa...
  3. E

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Star tv wana kila sababu ya kufanya hivyo, ikiwa ni wamiliki, pia kama hajaridhika huyo star times, inabidi wafanye hivyo bila kuzuru sheria ya nchi na vifungu vingine,ikiwa star times haeleweki, na vyema sasa local chanels zote zijitoe ilitubako na anologia yetu ili hawa digital wajiandae kwa upya.
  4. E

    Maskini Zitto Kabwe-Rasimu ya katiba yamtupilia mbali Urais!

    kimaus, Tofautisha kupewa nchi na kupewa madaraka, nchi hubakia kwa watanzania, tatizo mlikimbia madarsa, kwa kuogopa umande, hiii katiba kama imeenga kudicriminate vijana, haijaleta usawa, ki haki za binaadamu, haitatufaa,kwahiyo mnataka kuniambia wazee wa leo na vijana nani bora, ikiwa wazee...
  5. E

    Tume ya Warioba yaja na Rasimu ya Katiba yenye maamuzi mazito...

    watanzania, tu atakwa kupigwa bao la kisigino, hii taarifa ,kwanza sio rasmi,hapa na ndani ya tasisi hii yetu sio mwenzetu,hisia zangu, zaweza kunituma kwenye ukweli kwamba, suala kusema kusifia hiki kidogo sana, cha mara mbunge hafai kuwa waziri hata mimi naona it's a half logic,implication...
  6. E

    Slaa na Zitto ni turufu ya CHADEMA 2015

    kweli kaka mimi naunga mkono mchango wako asilimia 99, ukweli ndo huo na wassipo fanya hivyo ni matanga ya panza ambapo kunguru ni sherehe kwao.:kev::kev:
  7. E

    Matokeo kidato cha sita

    Ndugu wana chama wa dawati hili, suala la Elimu kidogo muda miaka kama minne mfululizo limeanza kuleta shida,na jamii imekuwa ikitizama hasa wizara itafanya nini ili kunusuru watu wake ama hawa watoto ili wapate, elimu bora itakayo wasaidia kuendelea na hata katika maisha ya fani zao, kitu...
Back
Top Bottom