Recent content by enzyme

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua NISSAN EXTRAILL

    Mkuu,engine za xtrail ni vimeo sana. Zikisha korofisha kidogo tu ndio kufa kwake..plus spare ni expensive kama alivyosema mdau hapo. Ulaji wa mafuta ni wa kawaida tu, approximately 1L/8Km. Ila pia lina space ya kutosha na ni very confortable.
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Action movie shot in nairobi - noma sana

    It's a tv series,not a movie.Inaitwa sense8..Directors wa Kenya hawawezi ku pull out such stunts any time soon :)
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri 'Mini car' gani ya kununua

    Mkuu,kwa vigezo vyako naona options ni hizi; 1. Toyota Rush (1490cc) 2. Suzuki Jimny (660cc) -za kuanzia mwaka 2000+ 3. Mitsubish Pajero mini (660cc) -za kuanzia mwaka 2000+
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Mapigano (Action Movies)

    Inglourious Basterds
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa Kickass Torrent

    Tumia hii mkuu kat.al
  6. E

    JamiiForums Tanzania Achana na mzungu,nahisi tutashika mkia mpaka kiama

    Tatizo letu ni chakula tu..basi!!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Chorus 10 bora za muda wote katika bongo flava!!

    ..'akwelinaa wee'..
Back
Top Bottom