Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,879
- 183,934
Nipo nacheki discovery family, kuna technological concept inaitwa claytronics. Kupitia hii concept kutakuwa na uwezekano wa kufanya almost jambo lolote kwa kutumia intergration ya nano scale-robotics na computer science. Unaweza kufanya kitu chochote unachofikiria kuwa physical kupitia hio robot ambayo unakuwa nayo ndani ya nyumba yako. Pia unaweza kufanya transformation ya any physical object.
mfano unataka tv unacommand inatengenezwa, unaweza ukaigeuza tv hio hio ikawa simu ukitumia ukamaliza unaigeuza kochi unakalia, unaigeuza kitanda!
Aisee tupo nyuma sana,wakati wenzetu wanazidi kuparangana ku invent newest technologies sisi hata ku adapt zile obsolette tech zao bado tunasuasua...Naona Mzungu akibaki kuwa noma tu mpaka kiama aisee!!!