Recent content by enyasi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji kuhutubia Bunge la Tanzania leo

    kibajaji ataelewa kweli maana nahisi lugha itakuwa ya kigeni
  2. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    "people think being alone makes you lonely, but i dont think that's true. Being surrounded by the wrong people is the loneliest thing in the world"
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mh. Mwakyembe pole kwa kupopolewa mawe, Sasa angalia hii.

    mapro wetu jamani
  4. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu mpesa tigo pesa na airtel money

    nitumie hela then nikueleweshe
  5. E

    JamiiForums Tanzania KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

    mnaona 100,000 bei ghali na ndo sehemu ambayo unapata kibali cha ndoa yako mbona ukumbi unalipa 1m mpaka 2m hulalamiki sehemu ya kuwapa watu mapombe....mshukuru MUNGU aliekupa uhai mpaka ukaamua kufunga hiyo ndoa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Sugu kuenguliwa kura za maoni

    bora ninyamaze...sometimes keyboard watu wanatumia vibaya
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    your a great thinker jaribu kuwaza tena
  8. E

    JamiiForums Tanzania Polisi yafyatua risasi, mabomu ya machozi Ubungo kuzuia vurugu

    huyu mwenyekiti akirudia siasa atakuwa chizi amejiaibisha sana..
  9. E

    JamiiForums Tanzania Taswa kwa hili naomba majibu

    habari wanajamvi jana kulikuwa na utoaji wa zawadi kwa wanamichezo hii ni kawaida kwa kila mwaka cha kushangaza kwenye tuzo ya mchezaji bora wa golf upande wa wanawake wamempa madina iddi ambaye kwa mwaka 2013/2014 hajawahi kushika nafasi yoyote ya juu ameachwa mwanamichezo angel eaton ambaye...
  10. E

    JamiiForums Tanzania TASWA kwa hili naomba majibu

    habari wanajamvi jana kulikuwa na utoaji wa zawadi kwa wanamichezo hii ni kawaida kwa kila mwaka cha kushangaza kwenye tuzo ya mchezaji bora wa golf upande wa wanawake wamempa madina iddi ambaye kwa mwaka 2013/2014 hajawahi kushika nafasi yoyote ya juu ameachwa mwanamichezo angel eaton ambaye...
Back
Top Bottom