TASWA kwa hili naomba majibu

TASWA kwa hili naomba majibu

enyasi

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
12
Reaction score
3
habari wanajamvi

jana kulikuwa na utoaji wa zawadi kwa wanamichezo hii ni kawaida kwa kila mwaka cha kushangaza kwenye tuzo ya mchezaji bora wa golf upande wa wanawake wamempa madina iddi ambaye kwa mwaka 2013/2014 hajawahi kushika nafasi yoyote ya juu ameachwa mwanamichezo angel eaton ambaye ameshinda 1.zimbabwe ladies open-- no 1
2.uganda ladies open-- no 1
3.mombassa ladie open--no 1
4.zambia ladies open---no 4
5.tanzania ladies open--no 1
hiyo ni 2013


2014: 1: zimbabwe ladies open--no 1
2: uganda ladies open--no 2
3: morogoro ladies open--no 1
4:special invaitation championship
holland-- no 1


sijui labda ni vigezo gani vinatumika kumchagua mchezaji vilivyotumika

nawasilisha
 
Hivi kwa nini jina la shindano la golf lina neno "open?"
 
Back
Top Bottom