Naweza kumsaidia
Nilinunua kiwanja eneo lenye mchanga, hivyo.
1. tofali nilifyatulisha ambapo wastani wa 25,000-30,000 ilinipa tofali 35-45 kwa mchanguo huu.
18,000 cement na usafirishaji
5,000 fundi
2,000 kuchimba mchanga per kiloba cha cement
3,000 maji
15,000 machine ya kufyatulia na vibao...