Recent content by Enock gabriel

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Wewe kama nani? Ndio kashafanya sasa unasemaje? Kama hutaki ungana na huyo mwanamke!
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Imekuuma eeeeh? Inaonekana nyie ndio wala wake za watu wenyewe, unatakiwa kukatwa kichwa.
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Hiyo ni kwako, ishi uonavyo na uwaache wengine waishi waonavyo
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Natamani niwe mimi ili nifanye kwa dada yako halafu nione hayo maji ya kwenda nayo.
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanajiendekeza au?

    Habarini! Kuna wakati katika maongezi unaweza sikia msichana akimuambia mwenzake, 'yule kaka ameshalipia mahari, na kakamilisha taratibu zote, nilikuwa nampenda ila ghafla nimejikuta tu namchukia'. Pia anaongeza, 'sijui kwa nini namchukia na ananihudumia kila kitu' Na maneno mengi ya ukakasi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

    Yes! Nidhamu ni ufunguo.
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

    Niambie sasa matatizo gani!
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

    Ahsante
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

    Du
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

    Niangalie mara ngapi sasa? Nishaangalia nyingi tu!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

    2m unaona ni ndogo kaka?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

    Pole sana kaka, wewe ni kichwa na utabaki kuwa kichwa tu. Utachelewa kidogo tu, ila utafika.
Back
Top Bottom