Recent content by enoc seth

  1. enoc seth

    Karibu ujipatie kaunda suit

    Karibu ujipatie kaunda suit na senator suit kwa bei rahisi kabisa kutoka kwangu fundi wako ENSETH TAILORING.(Bei ni Elf 55)kwa kitambaa super no 1 na 35 kwa namba 2.karibu sana na natuma mikoa yote. Mawasiliano 0756058565 Pia kwa ajili ya sherehe mbalimbali karibu nikuhudumie
  2. enoc seth

    Model Masai Handbags

    Karibu ujipatia mikoba mizuri ya kimasai na Africa print kwa Bei nzuri jumla na rejareja,napatikana Babati Manyara na pia mawakala wapo mikoa 9.Dar es salaam,Morogoro,Iringa,Mbeya,Mwanza,Dodoma,Arusha,Mtwara,na Songea pia TUNATUMA kokote ulipo na utapata bidhaa pasipo shaka yoyote BEI ni Sh...
  3. enoc seth

    Mikoba ya kimasai

    Hahaaaa, haya zimefika pongezi hizi
  4. enoc seth

    Mikoba ya kimasai

    Mfanyakazi mwenzangu huyu si mimi
  5. enoc seth

    BRELA Arusha wapo??

    Ooh sawa kaka Abuuh
  6. enoc seth

    Mikoba ya kimasai

    Huu ndio wakati wa kupambana na kusambaza bidhaa zetu watanzania,Mikoba ya kimasai yenye mwonekano wa kisasa, kwa kina dada na kina mama kwa matumizi ya safarini,ofisini na hata kutoka out nyakati za jioni inafaa Kwa bei ya sh elf 15000 tu unaipata mahali ulipo bei ya jumla elf 12000 karibuni...
  7. enoc seth

    BRELA Arusha wapo??

    Kuna jamaa alisema wapo lkn sina hakika nadhani mpaka Dar bado hawajafungua wale Mapambanaji
  8. enoc seth

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    biashara uanweza fanya ndg lkn kwa upande wangu bidhaa za wadada ni marketable sana kama handbags na vinginevyo, ingia Chuga chukua vitu vya Culture kwa kina dada
  9. enoc seth

    Meya wa Kinondoni aungana na Meya wa Jiji kumpinga Makonda

    Hahaha aisee pole sana ndg yangu,rudi tuu home usije ozea jela maana duuh ni shidaa
  10. enoc seth

    Meya wa Kinondoni aungana na Meya wa Jiji kumpinga Makonda

    Duuh sasa mbona ni sifa ya kusifiwa kwa mgema?
  11. enoc seth

    Ndugu zangu wananichukia

    Peleleza hata jina lake na ukoo wake kama si wa nchi hii sazi mitandao inasaidia sana unaweza search jina hiko la ukoo ukapata mwanga!kikubwa pigania kutafuta majina yake tuu
  12. enoc seth

    Ndugu zangu wananichukia

    Pole sana dada angu!huo ndio ushindi wako!vumilia kwa mawazo uliyonayo saizi,kemea roho ya chuki itakayojitokeza kwa mama,lamsingi ni kuhesabu kuwa unaanza upya dada angu simama kama wewe pasipo kumchukia mama na nduguyo neno linasema shinda ubaya kwa wema
Back
Top Bottom