Recent content by enny mchuz

  1. E

    Mafuta ya Lavender

    Nauliza sehemu ninayoweza pata mafuta ya Lavender hapa Dar es salaam
  2. E

    Ntapata wapi mafuta ya Lavender

    Habarini wapendwa,nauliza sehemu ninayoweza pata mafuta ya lavender hapa Dar es salaam
  3. E

    Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

    Itakula kwako matapeli hao,kwanza tangazo Lao pocket allowance ilikuwa 50000.
  4. E

    Wataalam wa computer

    Thanx sana bro mesh na sangito kwa Msaada wenu nimefanikiwa,much blessing
  5. E

    Wataalam wa computer

    Computer yangu nikiwasha nikiweka password inaniletea message kwamba profile service can not be loaded,na haifunguki. Masada plz.
  6. E

    Msaada tafadhari

    Nafungua computer nikiweka pacwod inagoma na kuleta SMS kwamba your profile service can not be loaded,kwenye utaalamu wa tatizo Hilo plz
  7. E

    Aliyewahi kufanya kazi Youth Awareness Program- Tanzania atupe feedBack

    Wenye mradi wa YAP, wametoa nafasi ambazo ndio zimefikia mwisho wa kuomba, Je ni za kweli maana nakumbuka last time waliibia watu.
  8. E

    Nafasi za kazi NSSF

    Usaili,sisi tulipeleka bila kucertify na walizipokea.
  9. E

    Sumsung S Duos inauzwa

    Simu aina ya sumsung S duos inauzwa tsh 330000,mpya haijafunguliwa .mawasiliano 0763216591
  10. E

    Best Watch Brands for Men!

    IPO mitaa gani
  11. E

    Best Watch Brands for Men!

    Ok maduka yapi naweza pata Michael kors hapa Dar,mi penda hizo
  12. E

    selcom

    Naulizia office zinazotoa machine za selcom kwa ajili ya kulipia vitu kama luku Dstv n.k
  13. E

    Manispaa ya ilala

    Nauliza manispaa ya ilala ilipo wanapotoa lesen za biashara na requirement za kwenda nazo
  14. E

    Advans bank

    Huwa wanapiga cmu
  15. E

    Advans bank

    Vp huyo alifanya jmoc,ndo kapigiwa cmu ya kesho au?
Back
Top Bottom