Nafasi za kazi NSSF

Nafasi za kazi NSSF

Uchochezi wapi, I personal visited the offices last time and being told, if you name is not of that side you will never be called in interview even if you Ur qualifying, At a surprise all the candidate were at least having a Muslim name! And the function of this forum is to shout so that things should change. If we shout up, it will continue burning and you never that next! It is out love to NSSF that push this! Let the forum share they experience!

Duuuh! Kiswahili hujui au?
 
Wanaposema certified haina maana ya kupeleka mahakamani.. Certification inayizungumzwa hapo ni ile iliyiandikwa kwenye cheti na transcript
 
Wanaposema certified haina maana ya kupeleka mahakamani.. Certification inayizungumzwa hapo ni ile iliyiandikwa kwenye cheti na transcript

Acha kupotosha Umma... certified copies ni nakala za vyeti halisi zilizo thibitishwa na kamishna wa viapo kuwa zimetokana na nakala halisi. Kamishna wa viapo kwa mujibu wa sheria ni Mahakimu, Majaji, Makatibu tawala wa mikoa na wilaya na wengine wanaotajwa na sheria.
 
Kama kawaida kwa vijana wa Tanzania wasivyopenda kusoma taarifa hadi mwisho! Naona watu wanataka apply. Ina maana neno Closing date for submissions halieleweka?! Hilo tangazo ni 'impotent' vijana!
 
Me pia hawa jamaa siwaelew mana cjapata update kuhusu hi mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom